Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

Wanauza kwa idhini ya nani? Wakinikata za kwangu huyo atayezinunua mbona atajuta! Nitakuwa namtokea kila siku
Zamani hata ndugu wa karibu waliofiwa walikuwa wananyolewa nywele na kubaki kipara
 
Duniani hakuna mtu mzuri 100% hivyo fanya mambo yako kivyako Kwa ajili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ