Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Nov 28, 2024 #61 Sina uhakika na hilo ila katika jamii yetu mwanaume akifa na mkono wa sweta ( govi) lazima litolewa kwanza ndo azikwe
Sina uhakika na hilo ila katika jamii yetu mwanaume akifa na mkono wa sweta ( govi) lazima litolewa kwanza ndo azikwe
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,255 Reaction score 6,252 Nov 28, 2024 #62 Demi said: Yaani kwamba zamani walikuwa wanakata rasta? Wanapeleka wapi? Click to expand... Wanaziuza tena
Demi said: Yaani kwamba zamani walikuwa wanakata rasta? Wanapeleka wapi? Click to expand... Wanaziuza tena
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Nov 28, 2024 #63 Demi said: Wanauza kwa idhini ya nani? Wakinikata za kwangu huyo atayezinunua mbona atajuta! Nitakuwa namtokea kila siku Click to expand... Utakuwa unamuonea, unatakiwa umtokee aliyekukata ili ajute. Sasa huyo kazikuta sokoni atajuaje za marehemu.
Demi said: Wanauza kwa idhini ya nani? Wakinikata za kwangu huyo atayezinunua mbona atajuta! Nitakuwa namtokea kila siku Click to expand... Utakuwa unamuonea, unatakiwa umtokee aliyekukata ili ajute. Sasa huyo kazikuta sokoni atajuaje za marehemu.
DMmasi JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 561 Reaction score 900 Nov 28, 2024 #64 Pesanyingi said: Eti wa stendi et anauliza eti Click to expand... umefanya nisome tena
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 24,386 Reaction score 57,588 Nov 28, 2024 #65 Hakuna kitu kama hicho.