Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

Nipo na application ya simu nikikaa kwenye computer nitakuonyesha, ukirejerea nyuma utaona...

Application ya simu ndiyo inakufanya usione post yako? sababu zingine za kijinga kweli kweli, wewe ikiwa ndiyo Mkuu wa chuo nnawahurumia sana hao wanafunzi wako.

Nnauhakika wanasomea ujinga tu kutoka kwako si zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mbona umeshindwa kunionyesha mimi, ndio utaweza kumuonyesha mtaalam Eiyer?

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?

Hapo sasa, ngoja nitafute "rain coat" maana utakuja na povu si la kawaida lakini jibu hauna.
 
Application ya simu ndiyo inakufanya usione post yako? sababu zingine za kijinga kweli kweli, wewe ikiwa ndiyo Mkuu wa chuo nnawahurumia sana hao wanafunzi wako.

Nnauhakika wanasomea ujinga tu kutoka kwako si zaidi.

Nenda kasome post #237 uone nilikuuliza kitu gani...
 
Last edited by a moderator:
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?

Hapo sasa, ngoja nitafute "rain coat" maana utakuja na povu si la kawaida lakini jibu hauna.

NATAKA KUSILIMU
************************

VIGEZO:
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa Uislam umetoka kwangu.
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa "MIMI ALLAH NI MUNGU"
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Muhammad anasema kwa mdomo wake kuwa "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU"
Siitaji aya ambayo mtu mwengine anamsemea Allah au Muhammad.
NATAKA KUSILIMU

NATAKA KUSILIMU
************************

VIGEZO:
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa Uislam umetoka kwangu.

Uislam utoke kwako tena? Unanchekesha.

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
 
nakuelewa sana kiongozi Man created God in his image: intolerant, sexist, homophobic and violent.
 
Kwa maelezo haya mtu asome halafu siku ya mwisho aende motoni,atakuwa amejitakia mwenyewe
 
Uislam utoke kwako tena? Unanchekesha.

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
Baada ya kupata Ushahid kuwa Yesu ni Mungu.
Nini umeamua kufanya? Njoo kwake dada FaizaFoxy na upate uhakikisho wa maisha baada ya kifo. Yesu anakupenda sana na anakukaribisha katika Ufalme wa Mungu.
 
Kama kuna mashindano ya uongo duniani, nnauhakika utachukuwa namba moja, No doubt.
 
Kaazi kweli kweli......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…