Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

Ni kweli Mungu hana Upendo? Au sisi tu ndio hatumuelewi!?

Nipo na application ya simu nikikaa kwenye computer nitakuonyesha, ukirejerea nyuma utaona...

Application ya simu ndiyo inakufanya usione post yako? sababu zingine za kijinga kweli kweli, wewe ikiwa ndiyo Mkuu wa chuo nnawahurumia sana hao wanafunzi wako.

Nnauhakika wanasomea ujinga tu kutoka kwako si zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Nenda kasome post #237 uone nilikuuliza kitu gani...
 
Last edited by a moderator:
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?

Hapo sasa, ngoja nitafute "rain coat" maana utakuja na povu si la kawaida lakini jibu hauna.

NATAKA KUSILIMU
************************

VIGEZO:
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa Uislam umetoka kwangu.
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa "MIMI ALLAH NI MUNGU"
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Muhammad anasema kwa mdomo wake kuwa "MIMI MUHAMMAD NI MTUME WA MUNGU"
Siitaji aya ambayo mtu mwengine anamsemea Allah au Muhammad.
NATAKA KUSILIMU

NATAKA KUSILIMU
************************

VIGEZO:
Nileteeni aya kutoka Quran ambayo Allah anasema kwa mdomo wake kuwa Uislam umetoka kwangu.

Uislam utoke kwako tena? Unanchekesha.

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
 
Kusema tu Yesu ni mungu huo ni udhaifu tayari. Kwa nini unatumia defensive mechanism? Kwani Mungu wenu ana wasiwasi gani kama kwel ndiye Mungu na yupo na yeye ni mwenye nguvu? Kuna maneno wanaelement za kujihami.

Mfano;

1. Mungu mwenye nguvu
2. Mwanzo na mwisho
3. Mungu wa kweli
4. Mungu wa milele
5 Mungu mmoja n.k

Nikisema Mungu wenu ni muoga nitakuwa nimekosea? Kwa nini anajihami? Huyu si ana uwezo wa kutamka na kila kitu kikawa?

Huyu si ndiye mnasema alituumba kwa kutuwekea pumzi ya milele? Kwanini alishindwa kufanya tumjue automatically kama tunavyoivuta pumzi automatically.?.kwa nn tumsime darasani?.Mungu wa hivi ni mungu wa aina gani.

Kubalianeni nami kwamba sisi ndio tunaoomuumba mungu na si kwamba yeye alituumba. There an Idea of God not a real figure known as God.

Uwepo wa dini zaidi ya mia moja duniani ni jibu tosha kwamba tunamuumba mungu sisi wenyewe.

Siku mkiujua ukweli mtakuwa huru!
nakuelewa sana kiongozi Man created God in his image: intolerant, sexist, homophobic and violent.
 
Kwa maelezo haya mtu asome halafu siku ya mwisho aende motoni,atakuwa amejitakia mwenyewe
 
Uislam utoke kwako tena? Unanchekesha.

Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
Baada ya kupata Ushahid kuwa Yesu ni Mungu.
Nini umeamua kufanya? Njoo kwake dada FaizaFoxy na upate uhakikisho wa maisha baada ya kifo. Yesu anakupenda sana na anakukaribisha katika Ufalme wa Mungu.
 
Kama kuna mashindano ya uongo duniani, nnauhakika utachukuwa namba moja, No doubt.
 
Kama kuna mashindano ya uongo duniani, nnauhakika utachukuwa namba moja, No doubt.

CR: Revelation 21:7

11009383_401116196722775_6332384940769493538_n.jpg
 
Kaazi kweli kweli......!!
 
Back
Top Bottom