Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

Huo ndio uungwana kijana wangu.
Endelea kunisemea huku ukilinukuu jina langu

Maneno hayo niliyasema post gani?

Sawa mimi nimekubali sote ni wabantu, tuishi kwa umoja, upendo na amani.


Maneno hayo niliyasema post gani?

Haya endelea kunisemea ndizo tabia zenu mibantu kudanganya
 
[QUOTE="Kipangaspecial, post: 47092619, member: 589000"Mimi siamini katika muungano na waarabu ndiwo watu Waziri kuja kuekeza hapa nchini . Samahani Sana kwa kukuwekea maneno ambayo wewe hujasema hasa haya ya kibantu

Afadhali umeanza kulelewa makosa yako[/QUOTE]Umevamia mtumbwi wa vibwengo.
 
ilikuwa project ya CIA ili kuzuia Zanzibar isigeuzwe kuwa "Cuba ya africa" na wakomunisti.
By late C. Mtikila R.I.P
Sasa kama ni hivyo mbona Muungano ukaleta ujamaa ambao ni huo huo ukomunisti japo wa bei ndogo.
 
Iwe nchi moja ambayo Zanzibar ni shehemu yake au nchi 2 tofauti?
Yani wazanzibari waache kuwa na baraza la wawakilishi, na Rais na serikali ya kujiamulia mambo yao, wawe levo moja na kamkoa kama mafia, ama moro hivi? Japo sio Mzanzibari bado naona huo ni ufala, serikali ya Zanzibar haiwezi kufutwa, labda mabadiliko yahusishe vitu vyengine
 
Back
Top Bottom