Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

Jamani[emoji2][emoji2],, usikamie sana hivyo usije unapata pesa nguvu za kiume zimeisha sijui utafanyaje[emoji23]( am kidding [emoji854][emoji854])
Kama ushawahi kuangalia prison break kuna tajiri alimkodi Sucre kwenda kuipiga chombo yake.

Incase nguvu zikiwa zimeisha nakodi vijana wana kuchapa fimbo mbele ya macho yangu tena ile kisawa sawa
 
Well said👍🙏🙏
 
Mapenzi bila pesa yapo vizuri tu ila jitahd utafte pesa kwanza kama hutak vituko kwenye mahusiano yako alafu ukutane na aliyekupenda kweli na sio waigizaji wa sasa utaenjoy sana ila kwanin usiwe na pesa bro Na bado unataka MAPENZI YA KWELI surely 😀
 
Labda wanawake wa kazimkazi
 
Kwa hiyo unataka kusema mwanamke mwenye background nzuri, ya kiuchumi hachagui anaweza kumpenda yoyote yule
Yah ni kweli mwanamke mwenye uchumi mzuri anampenda mwanaume yoyote mwenye pesa au hasiyekuwa na pesa, kwasababu anaweza kujimudu kwa mahitaji yake madogo madogo.
 
Unauliza swali na kujijibu mwenyewe.....


Ndio inawezekana mwanamke kumpenda mwanaume fukara ila pia itategemeana kipaumbele cha mwanamke katika maisha yake ni nini??
Ni kweli mwanamke anabadiliko kutokana na wakati uliopo, mfano akiwa kwenye matatizo ya kiuchumi na akafatwa na mwanaume mwingine mwenye pesa ana mkubali ili kujishikiza matatizo yake yaishe na wakati huo yupo na mwanaume ampendae kutoka moyoni. Kwakifupi wanawake wasikuizi wanajua kuigiza wakiwapata wanaume wenye pesa ili waweze kutatua shida zao, ndiyo maana pesa zikiondoka na wao wanaondoka.
 
Wewe ndo unaona ni ufukara Kwa kuwa maisha ya kileo yako redefined kwamba chumba na sebule ni ufukara ila, mama yako bila shaka hakuona ni ufukara.

Zamani mama zetu walitaka mahitaji ya msingi tu kama chakula, makazi ya kawaida, mavazi na usalama. Siku hizi wanawake wanataka mijumba, mandinga, mapene ya kupendeza na kula bata, n.k
Kwa kifupi, utajiri wa zamani ni ufukara tu leo hii.
 
Duh hii point mwanangu..... 'utajiri wa zamani ni ufukara tu leo'
 
Uongo,kigezo Cha kupendwa sio pesa,ukipendwa sababu ya pesa ukifulia lazima ukimbiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…