Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

Hiyo tafiti ya ndoa za uswalini zinadumu kuliko ushuani umefanyia wapi?
By the way kijana wa kiume muda pekee mtu anaweza kupenda na ufukara wako ni kama ni childhood sweethearts au mmekutana masomoni huko.
Binti wa miaka 30+ au late 20s ambae tayari kashavuka kikombe cha utegemezi sio rahisi kupenda mwanaume anaeunga unga. Kwanza mnakutana wapi?????
 
Kila mtu apende apendacho ila nasisistiza sitaki mwanaume fukara wasumbufu sana kero na gubu ndio kwao tehe tehe teheheheheeeeeeeeeeee
 
Kila mtu apende apendacho ila nasisistiza sitaki mwanaume fukara wasumbufu sana kero na gubu ndio kwao tehe tehe teheheheheeeeeeeeeeee
Ndio nimekwambia sio unakula tu siku akikwambia utoe unaanza kujilizaliza ukipenda kula ujue na kutoa haya Mama leo toa hio ....... Utatoa?
 
Kuna Tofauti kati ya fukara na maskini ,sasa kwa fukara atakula nini ?
 
Binafsi sitaki mwanaume asiekuw ana pesa wengi wana gubu na nongwa
Wapi uletewe kinywaji nilipie?

Upendo ni bure, unaweza kumpenda mtu yeyote muda wowote kwa hali yeyote, ila kudumu nae ni mtihani tena ikitokea umemzidi…

Wanasumbuliwa na alot of insecurities, hata ukijieleza na kumuonesha kuwa umempenda kweli na umeamua kwa dhati kuishi nae, utadeal na gubu, kisirani, attitudes, uongo uongo sehemu ambayo hata haifai kudangaya anajikuta kishadanganya, kujishtukia kwingi etc ukiamua kukomaa nae anaanza kuwaza huna pa kwenda… Hawaelewi kuwa kuna muda na sisi ni binadamu tunapenda.
 
Imeisha hiyoooooo
 
Kila mtu apende apendacho ila nasisistiza sitaki mwanaume fukara wasumbufu sana kero na gubu ndio kwao tehe tehe teheheheheeeeeeeeeeee
Umeamua kutukera na kututonesha vidonda vyetu mkuu.
 
Haah😂😂😂😂
I’m telling you Lee, mambo hayo wanayaweza wenzetu wazungu, (loving unconditionally) kibongo bongo pesa/mali inaplay part kubwa sana kwenye mapenzi, hasa kwenye dunia ya leo.

Nakupa mfano mmoja relevant kabisa.

Kuna mwanaume X anakupenda kwa dhati ila ni fukara, ungaunga, kwangu pakavu kabisa, na anapambana kujitafuta.

Then at the same time kuna mwanaume Y, he’s super fine anakupenda kwa dhati sana na alishajipata kitambo sana kimaisha, ana kugharamia na kukuspoil on different good ways.

Ebu tuambie which way will you go, just be honest 😅.
 
Back
Top Bottom