Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

kuna ka ukweli hapa...hawa wanaowalilia wanaume wengi wao wametokea kwenye maisha ya dhiki, surba, njaa kali, kajampa nani, kuvaa nguo moja kauka nikuvae na mengineyo
Ndo hivyo inavyokuaga, fuatilia hata wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Ila ambao wako na background nzuri wanaweza wakapenda na kuoa yeyote yule bila kuangalia ana hela amesoma au hajasoma.
 
Back
Top Bottom