Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

Ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?

Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara?
Inategemea unaweza ukawa fukara wa Pesa Ila ni tajiri wa kipaji/talanta kwa hio hapo kuna mengi, Mwanamke ameumbiwa kupenda Mwanaume ameumbiwa kutamani in short Mwanamke anaweza akafall in love na perfume tu ya Mwanaume sio Pesa
 
Hamna,, sema tu hamjiamini😃😃
Kujiamini wapi ukianza na Pesa unatakiwa umalize na Pesa pia ukiingia na gia zingine inabidi umalize na gia hizo zingine, sasa unajimwambafai Mimi namiliki kituo cha mafuta Dubai namiliki visima nyenyenye mtoto Leejay49 anajua hapa kuna maokoto ya kutosha anaanza kudai shopping za ajabu macho yanakutoka
 
Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa Mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta baba yangu anaishi kwao, yaani kwenye nyumba ya wazazi wake nayo ilikuwa chumba kimoja na sebure.

Lakini mbona ndoa za uswahili asilimia kubwa zinadumu ukilinganisha na zile za ushuwani? yaani unakuta mtu anaishi na mke wake wamepanga chumba kimoja na wanaishi maisha ya kuungaunga Lakini wanadumu wanazaa watoto wanafanikiwa kujijenga na kuwa na makazi yao.

Lakini mbona mwanamke huyohuyo unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kumpa penzi fukara?
Hakuna uhusiano kati ya pesa na mapenzi ila dunia ndio imebadilisha mambo yawe ivo sad
 
Naombeni mnipe majibu, ni kweli mwanamke hawezi kumpenda mwanaume fukara? Lakini mbona baba yangu alipendwa na mama yangu akiwa hana kitu, mimi nimezaliwa Mpaka nafikia umri wa kujitambua nimekuta baba yangu anaishi kwao, yaani kwenye nyumba ya wazazi wake nayo ilikuwa chumba kimoja na sebure.

Lakini mbona ndoa za uswahili asilimia kubwa zinadumu ukilinganisha na zile za ushuwani? yaani unakuta mtu anaishi na mke wake wamepanga chumba kimoja na wanaishi maisha ya kuungaunga Lakini wanadumu wanazaa watoto wanafanikiwa kujijenga na kuwa na makazi yao.

Lakini mbona mwanamke huyohuyo unaweza kumpa kila kitu na bado akaenda kumpa penzi fukara?
Hakuna uhusiano kati ya pesa na mapenzi ila dunia ndio imebadilisha mambo yawe hivyo na pia zamani akukuwepo na simu hata
 
rudia kusoma vizuri....kuna tuvituvitu ndani thread yangu
Achana na kitu kinaitwa hisia za mapenzi...

Mwanamke hata kama ukampa Kila kitu kama hana hisia na wewe za mapenzi, ataenda kwa fukara ambaye anahisia nae..

Uswahilini ndoa zinadumu sababu wanapendana kweli kwa hisia...

Ushuani mara nyingi upendo ni wa vitu na sio mtu...mf gari, pesa, nyumba...

Ni vigumu ndoa kudumu ushuani...
 
Back
Top Bottom