Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukiwa road yenye kisiki kimoja lazima kikukwaruze [emoji3][emoji3][emoji3]Uko road yenye mawe visiki ni tayari huna hela.
Financial services nakupenda mpenzi.. lakini usimwongopee kijana. Pesa ni muhimu sana dunia ya leo. Yani maisha kabla ya mimi kutoboa, na ya sasa,, hakuna kulinganisha kabisa. Na nikikumbuka hilo, linanipa motivation ili kuendelea kuchapa kazi na kufanya maamuzi sahihi ili kwamba Niendelee Kuvuruga Kabisa na Kukuza Hali yangu ya Kiuchumi na Kwamba KAMWE NISIRUDI NYUMA.Si kweli bana, pesa siyo kila kitu, jiamini
Utelezi wa nini sasa? Atoe asitoe atajua yeye. Wahuni tunabutua, tunakojoa tunasepa!Ila bila pesa sahau utelezi wa mwanamke
Hii ni nimeielewa vema it's all about powerMoney is power
Mtu anajiamini akiwa na hela kwani anakua na option nyingi za kudhibiti situation yeyote kwani ana Power
Ila ukiwa na aina nyingine ya Nguvu unaweza kujiamini pia hata kama huna hela.
So mwisho wa siku its all about POWER.
Ila kiukweli kuna njia 2 za Uhakika Kupata Hio Power.Money is power
Mtu anajiamini akiwa na hela kwani anakua na option nyingi za kudhibiti situation yeyote kwani ana Power
Ila ukiwa na aina nyingine ya Nguvu unaweza kujiamini pia hata kama huna hela.
So mwisho wa siku its all about POWER.
Ndio hivyo.. Usiweke confidence yako kwa mtu au kitu. Kuna watu wanaweka confidence kwa mke (ndoa) na watoto. Siku watoto au mke wanageuka vingine ai ndoa inavunjika, au mke anachukuliwa na mwanaume mwingine.. na kumwona baba sio kitu.. anakosa amani.. anapata depression. Anakuwa mlevi kupindukia nk.If confidence yako ina rely kwenye pesa. Ni better ukajifikira upya.
Means in the middle of life ukikosa pesa hata siku moja kujiamini 0.
Ni kweli kabisa mkuu kuna vyanzo vingi sana vya nguvu kna ulivyotaja apo.Ila kiukweli kuna njia 2 za Uhakika Kupata Hio Power.
1. Usiwe na Pesa ya kutosha lakini uwe na Cheo chenye nguvu.. Mfano Mkuu wa Wilaya. Mkuu wa Mkoa. Waziri. Rais nk. Hao hata kama hawana Pesa.. Vyeo vyao ni very powerful.
2. Uwe na Pesa ya Hali ya Juu Kabisa.
Kwa ujumla... Uko sahihi kabisa sababu Pesa na Vyeo vinaisha. Ni muhimu kuwa na Internal Power sababu hio haitaisha kamwe.
Mmhh ngumu Sana hii [emoji16]Si kweli bana, pesa siyo kila kitu, jiamini
Kwa ground sasa !!!? [emoji30][emoji30][emoji16][emoji16][emoji16] Wewe wajaze tu[emoji23] utu wema ni kila kitu kwa mwanaume, mwanaume anayejali, anapenda kweli aarh, mbususu atapata, pesa tutatafuta pamoja.
Nashangaa eti effort zinawekwa kwa wanawake wao Kam kina nani, ukiwa na confidence ya kutongoza Alf Mambo ya maisha huna confidence huo ni utahilaKujiamini ni kwenye kutafuta mademu? Hapo mnakosea sana. Kana kwamba mademu ni kila kitu. Inatakiwa tu ndani yako uwe mtu wa kujiamini siku zote. Mademu au sio mademu. Unatakiwa Ujiamini kwamba ukipambania ndoto zako.. utafanikiwa.
Unatakiwa ujiamini kwamba hata kama sasa ivi hauna Pesa, ila ww umezaliwa kuwa Fogo.
Hao mademu wakali.. uwatumie kama motisha sababu hautawapata kama hauna pesa.
Waangalie tu.. watamani tu.. halafu ujisemee Nyie Mtanikoma Nitakapokuwa Fogo Mkubwa sana.
Kwa sasa achana nao sababu watakurudisha nyuma.. Ila pambana kutafta hela, na KAMWE.. USIRUHUSU KUWA NA LOW SELF ESTEEM AU KUJIDHARAU.. AU KUWA SIO MTU WA KUJIAMINI. Hilo litakuangusha siku zote
Internal power Kama ipo iyo mkuuIla kiukweli kuna njia 2 za Uhakika Kupata Hio Power.
1. Usiwe na Pesa ya kutosha lakini uwe na Cheo chenye nguvu.. Mfano Mkuu wa Wilaya. Mkuu wa Mkoa. Waziri. Rais nk. Hao hata kama hawana Pesa.. Vyeo vyao ni very powerful.
2. Uwe na Pesa ya Hali ya Juu Kabisa.
Kwa ujumla... Uko sahihi kabisa sababu Pesa na Vyeo vinaisha. Ni muhimu kuwa na Internal Power sababu hio haitaisha kamwe.
Godamn right. Yaani confidence isiwe too reliant kwa object,mtu au kitu. Maana kikiondoka huna pa kushika. Utu wako unapotea?Ndio hivyo.. Usiweke confidence yako kwa mtu au kitu. Kuna watu wanaweka confidence kwa mke (ndoa) na watoto. Siku watoto au mke wanageuka vingine ai ndoa inavunjika, au mke anachukuliwa na mwanaume mwingine.. na kumwona baba sio kitu.. anakosa amani.. anapata depression. Anakuwa mlevi kupindukia nk.
Kwa hio sio pesa tu. Ni kosa kuweka confidence yako kwa Kitu (cheo, pesa, gari nk) au kwa mtu.
Ila ukijiamini, maisha yataendelea tu siku zote.[/B]
Maneno haya anasema mtu wa finance mbona unampa moyo si umwambie ukweli tuSi kweli bana, pesa siyo kila kitu, jiamini
Wacha weee![emoji23] utu wema ni kila kitu kwa mwanaume, mwanaume anayejali, anapenda kweli aarh, mbususu atapata, pesa tutatafuta pamoja.
Hata nguvu za kiume pia zinapotea.Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba?
Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa.
Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
Siku zote tu wanawake tupo hivyo