Ni kweli mwanaume ukiwa huna pesa unakosa kujiamini?

Naona huko mkuu ndiko uliko wekeza kwenye mademu,yani unatafuta pesa akili yako unailekezea huko,halafu anaetoa riziki akizuia tunaanza kujiona tuna mikosi...
 
Si kweli bana, pesa siyo kila kitu, jiamini
Financial services nakupenda mpenzi.. lakini usimwongopee kijana. Pesa ni muhimu sana dunia ya leo. Yani maisha kabla ya mimi kutoboa, na ya sasa,, hakuna kulinganisha kabisa. Na nikikumbuka hilo, linanipa motivation ili kuendelea kuchapa kazi na kufanya maamuzi sahihi ili kwamba Niendelee Kuvuruga Kabisa na Kukuza Hali yangu ya Kiuchumi na Kwamba KAMWE NISIRUDI NYUMA.

Uzuri, pesa inatafutwa. Hata kama haukuzaliwa nayo, uwezo wa kuishika sana upo. Ila muhimu kuchapa kazi na kufanya maamuzi sahihi KILA SIKU.
 
Money is power

Mtu anajiamini akiwa na hela kwani anakua na option nyingi za kudhibiti situation yeyote kwani ana Power

Ila ukiwa na aina nyingine ya Nguvu unaweza kujiamini pia hata kama huna hela.

So mwisho wa siku its all about POWER.
Hii ni nimeielewa vema it's all about power
 
Money is power

Mtu anajiamini akiwa na hela kwani anakua na option nyingi za kudhibiti situation yeyote kwani ana Power

Ila ukiwa na aina nyingine ya Nguvu unaweza kujiamini pia hata kama huna hela.

So mwisho wa siku its all about POWER.
Ila kiukweli kuna njia 2 za Uhakika Kupata Hio Power.
1. Usiwe na Pesa ya kutosha lakini uwe na Cheo chenye nguvu.. Mfano Mkuu wa Wilaya. Mkuu wa Mkoa. Waziri. Rais nk. Hao hata kama hawana Pesa.. Vyeo vyao ni very powerful.
2. Uwe na Pesa ya Hali ya Juu Kabisa.

Kwa ujumla... Uko sahihi kabisa sababu Pesa na Vyeo vinaisha. Ni muhimu kuwa na Internal Power sababu hio haitaisha kamwe.
 
If confidence yako ina rely kwenye pesa. Ni better ukajifikira upya.
Means in the middle of life ukikosa pesa hata siku moja kujiamini 0.
Ndio hivyo.. Usiweke confidence yako kwa mtu au kitu. Kuna watu wanaweka confidence kwa mke (ndoa) na watoto. Siku watoto au mke wanageuka vingine ai ndoa inavunjika, au mke anachukuliwa na mwanaume mwingine.. na kumwona baba sio kitu.. anakosa amani.. anapata depression. Anakuwa mlevi kupindukia nk.

Kwa hio sio pesa tu. Ni kosa kuweka confidence yako kwa Kitu (cheo, pesa, gari nk) au kwa mtu.

Ila ukijiamini, maisha yataendelea tu siku zote.[/B]
 
Ni kweli kabisa mkuu kuna vyanzo vingi sana vya nguvu kna ulivyotaja apo.
 
Nashangaa eti effort zinawekwa kwa wanawake wao Kam kina nani, ukiwa na confidence ya kutongoza Alf Mambo ya maisha huna confidence huo ni utahila
 
Internal power Kama ipo iyo mkuu
 
Godamn right. Yaani confidence isiwe too reliant kwa object,mtu au kitu. Maana kikiondoka huna pa kushika. Utu wako unapotea?
No,a man got to have authetic identity ambayo haiyumbishwi na vitu
 
kwel asee...mtu unamwita muhudumu wa vinywaji unashangaa kmamtu kati yenu anajitolea ' aah si maji tuu ngoja nkuchukulie brooh" anae jitolea sana hana pesa...
na mi nkshakugundua utahenyaa 😂😂
 
Hata nguvu za kiume pia zinapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…