Changia mada bila kumbeza mtu wimbo unaitw kokoro cyo korombwezo......nahisi mtoa mada anamaanisha kwa kiasi flani upepo umebadilika sio kila siku mtu mmoja tu kwa sasa hivi kwa sisi tunaochelewa kulala nyimbo ya darasa ina vibe kuliko hilo "korombwezo" rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni.....hapo kila mtu lazima anachanua mikono tu huku tunasubiria sauti ya ben pol
Darassa ndo mbadala wake maana anakuja kwa kasi sana wenye jicho la tatu tushaanza kuona kuwa upepo unamwendea vizuri sana darassaDiamond anajaza ukumbi Zimbabwe... Darasa hawezi ijaza ata Maisha club. Wakumpiku Diamond bado ajaanza muziki, najua wengine mmemchoka ila mvumilieni tu maana mbadala wake bado sana.
Mtoa mada ajapenda kuufunga uzi wake mapema hivi.Aina ya mziki anaofanya darasa haiwezi kutishia mzik wa Diamond, hivi unaweza kudhani kwamba Rhamos kung'aa na kutupia goli kwenye el clasico kunaweza kuhatarisha nafasi ya Ronado!?
Changia mada bila kumbeza mtu wimbo unaitw kokoro cyo korombwezo......
Darassa ndo mbadala wake maana anakuja kwa kasi sana wenye jicho la tatu tushaanza kuona kuwa upepo unamwendea vizuri sana darassa
Usihusishe hisia zako kama umeshindwa kuchangia mada pita ivi cjakuita na wala hujalazimishwa uchangieacha jazba unapenda kuhariri ulitakiwa uniambie inaitwa kokoro basi kwani post za walimu hawajazitoa naona unaanza kutumia taaluma yako humu
Usihusishe hisia zako kama umeshindwa kuchangia mada pita ivi cjakuita na wala hujalazimishwa uchangie
Ndo maana kwenye bandiko langu cjamkebehi msanii yyt
Ok poaunanikazia bure tu ila poa kila mtu anauhuru wake humu.........ila ukweli Darasa kwenye nyimbo yake muzik kuna vijembe kama vinakwenda wcb ok yaishe naona umeona kama nakuchafulia uzi...........bla bla sitaki kusikia sio simba sio chui....
Team kiba wana shida sanaa..Kibakuli alikuwa wapi hadi darasa kaovertake huyu mondi atalinganishwa na kila mtu ilimradi siku ziende tu !!!!
Mwezi ujao tu hana lake huyo...Darasa ni msanii wa kupita tu, mwezi kama huu mwakani tutakuwa tumeshamsahau kabisa.
Huyo Darassa anaimba Hip hop ?hakuna kitu kama hicho..
ila kwa sasa upande wa hiphop hakuna kama darassa hiyo ni wazi....
hata joh kwa sasa hapewi antention kama anayopewa mshkaji.
salome[emoji19]Huyo Darassa anaimba Hip hop ?
Wimbo wake ni upi?
Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.
Je kuna ukweli wowote hapo???
frankly speaking huyu jamaa anajua na kaja kuchukua kijiti cha hawa wafuatao 1.true boy nay 2.joh makini.na kaja kuwafuta kabisa vijana chipukizi km Bilnas.Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.
Je kuna ukweli wowote hapo???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duh watuuuusalome[emoji19]