- Thread starter
- #21
Changia mada bila kumbeza mtu wimbo unaitw kokoro cyo korombwezo......nahisi mtoa mada anamaanisha kwa kiasi flani upepo umebadilika sio kila siku mtu mmoja tu kwa sasa hivi kwa sisi tunaochelewa kulala nyimbo ya darasa ina vibe kuliko hilo "korombwezo" rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni.....hapo kila mtu lazima anachanua mikono tu huku tunasubiria sauti ya ben pol