Ni kweli nafasi ya Diamond imechukuliwa na Darassa?

nahisi mtoa mada anamaanisha kwa kiasi flani upepo umebadilika sio kila siku mtu mmoja tu kwa sasa hivi kwa sisi tunaochelewa kulala nyimbo ya darasa ina vibe kuliko hilo "korombwezo" rudi utotoni usipotembea utabebwa mgongoni.....hapo kila mtu lazima anachanua mikono tu huku tunasubiria sauti ya ben pol
Changia mada bila kumbeza mtu wimbo unaitw kokoro cyo korombwezo......
 
Diamond anajaza ukumbi Zimbabwe... Darasa hawezi ijaza ata Maisha club. Wakumpiku Diamond bado ajaanza muziki, najua wengine mmemchoka ila mvumilieni tu maana mbadala wake bado sana.
Darassa ndo mbadala wake maana anakuja kwa kasi sana wenye jicho la tatu tushaanza kuona kuwa upepo unamwendea vizuri sana darassa
 
Changia mada bila kumbeza mtu wimbo unaitw kokoro cyo korombwezo......

acha jazba unapenda kuhariri ulitakiwa uniambie inaitwa kokoro basi kwani post za walimu hawajazitoa naona unaanza kutumia taaluma yako humu
 
Darassa ndo mbadala wake maana anakuja kwa kasi sana wenye jicho la tatu tushaanza kuona kuwa upepo unamwendea vizuri sana darassa

Darasa ni msanii wa kupita tu, mwezi kama huu mwakani tutakuwa tumeshamsahau kabisa.
 
Hata Shilole sasa hivi kampiku Jide. Mambo yanabadilika kwa kasi sana.
 
hakuna kitu kama hicho..

ila kwa sasa upande wa hiphop hakuna kama darassa hiyo ni wazi....
hata joh kwa sasa hapewi antention kama anayopewa mshkaji.
 
acha jazba unapenda kuhariri ulitakiwa uniambie inaitwa kokoro basi kwani post za walimu hawajazitoa naona unaanza kutumia taaluma yako humu
Usihusishe hisia zako kama umeshindwa kuchangia mada pita ivi cjakuita na wala hujalazimishwa uchangie

Ndo maana kwenye bandiko langu cjamkebehi msanii yyt
 
unanikazia bure tu ila poa kila mtu anauhuru wake humu.........ila ukweli Darasa kwenye nyimbo yake muzik kuna vijembe kama vinakwenda wcb ok yaishe naona umeona kama nakuchafulia uzi...........bla bla sitaki kusikia sio simba sio chui....
 
Ok poa
 
Dah.. Huyu Damondi huyu!! Lini mtampa break.!??

Huyu Darasa wala hajanusa level za King Zila. Achilia mbali Mwamba.
 
Kutokana na ngoma aliyotoa Darassa kuifunika ngoma ya Rich Mavoko aliyomshirikisha Diamond, inasemekana kuna dalili tosha kuwa Diamond kijiti anaanza kumpatia Darassa taratibu bila yeye kujua.

Je kuna ukweli wowote hapo???

frankly speaking huyu jamaa anajua na kaja kuchukua kijiti cha hawa wafuatao 1.true boy nay 2.joh makini.na kaja kuwafuta kabisa vijana chipukizi km Bilnas.
 
Back
Top Bottom