Tetesi: Ni kweli Ndugulile na Kalemani wameondolewa kwa ushawishi wa matajiri?

Ndugulile sasa ni wakati wake wa kutafakari namna ya kuwasaidia wananchi wa Jimbo lake.....Na ikitokea teuzi nyingine akatae..amekuwa na bahati mbaya na hii nafasi ya Uwaziri
Pengine ndiye Rais ajaye. Siku zote dunia na shetani huwashambulia wenye nyota kuzuia yajayo huko mbele.
 
Acheni porojo nyie watu!! Hivi si ni huyu huyu Ndungulile alikuja na vifurushi vya ovyo kabisa vya intanet kabla SSH hajaingilia kati?! Hivi mfumo wa ovyo wa kutumika kwa LUKU kulipia kodi ya majengo; mfumo huo ulitakiwa kuwa approved na nani kama sio wizara ya huyo huyo Ndungulile? Na ni wizara ya nani inahusika na bei ya kubwa ya umeme na gas nayoendelea kupanda kila siku kama sio Kalemani?
Hawa mawaziri mnawapa lawama au hamjui kuwa waziri hawezi kupeleka muswada bungeni pasi Rais kufahamu?.
 
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.

Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.

Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyuka basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo. View attachment 1936747
Tusubiri tuone maana hamna litakalojificha. Huu mradi kama ulikuwa ufanykie in good faith ungeleta ahueni kwenye matumizi, gharama na usambaaji wa mawasiliano hususani Internet/teknolojia ya mawasiliano ambayo matumizi yake ni muhimu sana kiuchumi katika dunia ya sasa.
 
ndugulile kazi kubwa aliyoifanya hadi ss nikufungia porn tu itakua mama kampima na hyo kazi kwa miezi Sita

alie teuliwa sijue atarudisha tena au hadi vpn
 
ukiangalia hii picha utagundua huwenda kuna mambo ya chini chini kalemani alikua anayafanya ila Rais akayajua
E_LkcXXWEBAj0YV.jpeg
 
Leo ni raia kama mimi sema wao wameibaiba wana mali nyingi
Bado sio raia wa kawaida kama ww wao bado wako katika food chain ya cake ya taifa kilichotokea wamebadilishiwa nafasi walikuwa kwenye mstari wa mbele sasa hivi wako mstari wa katikati
 
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.

Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.

Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyuka basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo. View attachment 1936747

KALEMANI””akalee wajukuu ,hanuna alichokua anakifanya,nenda TANESCO uone ilivyo taabu kuunganishiwa umeme,yeye ni kuimba ngonjera kila siku,,huyo mwingine kaaribu sana wizara ya mawasiliano NI MZIGO WA TAIFA,,wapumzike ,kwanza ilitakiwa wawe magereza
 
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.

Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.

Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyuka basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo. View attachment 1936747
Kiongozi anadhihirika katika ufanyaji wa maamuzi na kupanga mikakati kuhusu kundi analoliongoza,kiongozi wetu kaamua na anamatarajio katika maamuzi yake, ikumbukwe pia katika maamuzi huwezi kupatia nyakati zote.

Kwa watalamu wa kemia watakumbuka displacement reaction............

The most reactive element displaces the less reactive element and forming a compound and gas,and we normally we know how gas behaves it become evaporated and vapored, therefore those who took seats we appreciate their capability God bless them, if I could see them I could tell them the following.....
"When you plant a seed of genuine and honesty you will leap the fruits of trust"
 
Hivi jamani ile 40% punguzo la tozo limetimia au bado. Naomba mrejesho kwa wanaotumia huduma za mobile money. 30% serikali na 10% service provider
Sasahivi ata mchanganuo hawatoi tena kama zamani kuwa haya na makato, hii ni VAT na Tozo hawatoi zaidi wanajumlishia kwenye VAT bas
 
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.

Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.

Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyika basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo. View attachment 1936747

Eeeehh kuna ka logic hapo, ni tetesi ila kuna kitu cha kuangalia.
 
Ulitaka waondolewe kwa ushawishi wa maskini? Bado mtaongea yote
 
Wewe bwana vipi, yaani mawaziri wawili tu wanaweza wakajipangia kufanya kitu bila kwanza kuafikiana kwenye kikao cha baraza la mawaziri..!!
 
Sasahivi ata mchanganuo hawatoi tena kama zamani kuwa haya na makato, hii ni VAT na Tozo hawatoi zaidi wanajumlishia kwenye VAT bas
Hapo naona kama ndio wametuingiza cha kike bila mchanganuo kuna shida katika hili ila unaweza kutusaidia kama umetumia je total ni less charges au less kwa maana ya ujumla.
 
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.

Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.

Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyika basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo. View attachment 1936747
Alafu anawarudisha wale walofeli kipindi cha nyuma hakika tusipoamuka watz tutaendelea kuwa masikini daima
 
Walipoteuliwa hatukuuliza ni kwa nini. Hivyo hata wanapoondolewa, hakuna haja ya kuhangaika kujiukiza ni kwa nini.
 
Samahan mkuu sijaelewa Ina maana Tanesco wanatoa huduma ya internet ,tv au unamaanisha nini,vingamuz unavyosema watatoa kwa bei nafuu kivip? Embu dadavua hapo
 
Back
Top Bottom