Tetesi: Ni kweli Ndugulile na Kalemani wameondolewa kwa ushawishi wa matajiri?

Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.

Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.

Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyika basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo.

View attachment 1936747
Kwa TANGANYIKA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Acheni porojo nyie watu!! Hivi si ni huyu huyu Ndungulile alikuja na vifurushi vya ovyo kabisa vya intanet kabla SSH hajaingilia kati?! Hivi mfumo wa ovyo wa kutumika kwa LUKU kulipia kodi ya majengo; mfumo huo ulitakiwa kuwa approved na nani kama sio wizara ya huyo huyo Ndungulile? Na ni wizara ya nani inahusika na bei ya kubwa ya umeme na gas inayoendelea kupanda kila siku kama sio Kalemani?
Ni kweli hao mawaziri wote hasa kalemani maneno yalikuwa mengi sana, lakini sio kuwapa lawama nyingine ambazo sio zao, hivi kweli waziri anaweza ibuka huko tu akaamua vifurushi vya simu/tozo vipande?!!au kodi ya majengo ikusanywe kupitia luku?utendaji wa serikali hauko hivyo, ukiona hivyo baraza lote la mawaziri, makatibu wakuu wote wanahusika, kwa hiyo kwa hao wapya kuna mabadiriko watayafanya ili kupunguza bei za hayo uliyolalamikia??kuna kanuni waziri anaweza ipitisha bila rais kuiidhinisha, acheni siasa kwa kila jambo.
 
Hayo niliyotaja ni masuala ya kanuni, na ingawaje yanaenda Baraza la Mawaziri lakini huanzia kwenye Wizara Mama!! Kama ni suala la kitalaamu, inatarajiwa wizara mama ndiyo yenye utaalamu wa issue ya yenyewe, na ndo yenye majibu! Issue inapelekwa Baraza la Mawaziri kwa ajili ya kupitishwa tu, na Baraza likikataa, Wizara Mama ina wajibu wa kulishawishi baraza kwa hoja kwamba "hili suala ni muhimu"!

Sasa kama at the end of the day, suala lenyewe likija kuonekana lilikuwa na mapungufu, kumbe ulitarajia nani awajibishwe wakati Wizara Mama ndo yenye watalaamu wa issue husika?! Do you expect Rais avunje baraza zima la mawaziri kutokana na udhaifu wa jambo lililoletwa na wizara moja au mbili kama ni suala la kimtambuka?
 
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.

Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.

Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyika basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo.

View attachment 1936747
Inaelekea hao mabepari wapinga maendeleo kwa umma ndio samia anawasikiliza. Niulize ..kwani lengo la serikali hii ni kuwatajirisha wafanya biashara tu au kuwaletea maendeleo wananchi? Kuna watu wanafikiri serikali inapaswa kuwapa nafasi wao kutajirika tu badala ya kuwapatia umma maendeleo. Watu watazidi kutia shaka kwamba huyo january amewekwa kwa maslahi ya mabepari wanyonyaji.
Mkongo wa taifa kusambazwa kwa njia ambapo serikali ilishawekeza ingekua gharama nafuu kwa umma.
 
Inaelekea hao mabepari wapinga maendeleo kwa umma ndio samia anawasikiliza. Niulize ..kwani lengo la serikali hii ni kuwatajirisha wafanya biashara tu au kuwaletea maendeleo wananchi? Kuna watu wanafikiri serikali inapaswa kuwapa nafasi wao kutajirika tu badala ya kuwapatia umma maendeleo. Watu watazidi kutia shaka kwamba huyo january amewekwa kwa maslahi ya mabepari wanyonyaji.
Mkondo wa taifa kusambazwa kwa njia ambapo serikali ilishawekeza ingekua gharama nafuu kwa umma.
Nasikia baada ya awamu ya 5 tumeingia awamu ya 4(6)
 
Back
Top Bottom