Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyewe amejaa kiburi na dharau kama nini huyu mtu.Ndugulile sasa ni wakati wake wa kutafakari namna ya kuwasaidia wananchi wa Jimbo lake.....Na ikitokea teuzi nyingine akatae..amekuwa na bahati mbaya na hii nafasi ya Uwaziri
Kwani kila mtu anafanya anachotaka? Au kuna taratibu za kufanya? Kalemani ameenda kwenye signing kama ile peke yake bila MD wa Tanesco kama nani?Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.
Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.
Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyika basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo.
View attachment 1936747
Wote ni walewaleMimi sio Askofu Gwajima, mimi ni Gwajima wa JamiiForums
Yawezekana kwani lisemwalo lipo. Hata hivyo walikuwa ni watendaji wazuri sana. Sijui kama wanaosema SUK... wote tujiandae.Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao kusambaza mkongo wa taifa majumbani ili kuwezesha wananchi kupata huduma za internet, simu na Tv kwa gharama nafuu.
Kuna tetesi kuwa makubaliano haya yaliwakera sana matajiri wanaomiliki makampuni ya mawasiliano kwani huenda wangepunguza wateja wao, pia inaelezwa kuwa watoa huduma za visimbuzi nao hawakupenda mradi huu hivyo wakawasemea kwa mama kuwa mradi huu utapunguza wawekezaji na mama bila ajizi akawapumzisha.
Sijui kama ni tetesi tu au ndivyo ilivyo, nataka Serikali iseme kama mradi huu utaendelea au hautafanyuka, endapo hautafanyika basi tetesi hizi zitanishawishi, kama utafanyika basi mnaonena chini chini mkome kuzusha mambo.
View attachment 1936747
EHEEEEEE TUACHENI WASUKUMAWe bwana Gwajima endelea kuhubiria misukule yako...
Mwache mama asafishe serikali yake kwa kuondoa uchafu wa mwendazake na sukuma gang yake...
Na Chadema hawajajipanga vizuri kimfumo naomba wasaidiwe kuundiwa mfumo ili CCM ikae pembeniWame underperform TUACHE kuwaza ujinga Ndugulile umtetee Kwa lipi?
CCM ishaoza yote
Huu ukweli wanasesere hawataki kuukubali.Wame underperform TUACHE kuwaza ujinga Ndugulile umtetee Kwa lipi?
CCM ishaoza yote
Wanasesere mtanyoka. Tuliwaonya jiwe anawaharibu.Bibi yenu ameona kapwaya katafuta wa kufa naye, she has failed herself. Unaendaje kwenye umma unatangaza miezi sita ulikuwa probation, raisi unakuwa probation? Na repurcusion anaielewa?
Mkuu you nailed it,Acheni porojo nyie watu!! Hivi si ni huyu huyu Ndungulile alikuja na vifurushi vya ovyo kabisa vya intanet kabla SSH hajaingilia kati?! Hivi mfumo wa ovyo wa kutumika kwa LUKU kulipia kodi ya majengo; mfumo huo ulitakiwa kuwa approved na nani kama sio wizara ya huyo huyo Ndungulile? Na ni wizara ya nani inahusika na bei ya kubwa ya umeme na gas inayoendelea kupanda kila siku kama sio Kalemani?
Mswada wa nini Chifu?! Kwenye maelezo yangu kuna hoja yoyote unayoona ilihitaji muswada kupelekwa bungeni?! Nimezungumzia suala la vifurushi na mfumo wa kulipia majengo kupitia LUKU! Kipi hapo kilihitaji kupelekwa bungeni? Ushawahi kusikia bunge likipitisha sheria ya vifurushi vya intaneti? Kuhusu Kaleman, wala siwezi kumlaumu kuhusu tozo kwa sababu hilo ni suala la bunge, lakini inasemekana huyu bwana alitengeneza kanuni bila kuhusisha vyombo husika, na hilo ndilo lilisababisha kupanda kwa bei ya mafuta baada ya kutenga 20% ya bulk import kwa wazawa! Ingawaje suala la kuwa-empower wazawa lina-sound vizuri masikioni but seems kulikuwa na kitu hakikuwa sawa!Hawa mawaziri mnawapa lawama au hamjui kuwa waziri hawezi kupeleka muswada bungeni pasi Rais kufahamu?.
Amenufaisha sana makampuni ya simu kwa kupandishwa Bei ya bundle za internet. Kama hawakumuangalia shauri yake.Ndugulile sasa ni wakati wake wa kutafakari namna ya kuwasaidia wananchi wa Jimbo lake.....Na ikitokea teuzi nyingine akatae..amekuwa na bahati mbaya na hii nafasi ya Uwaziri
Hamna wa kukushinda ubishi weweAnapigwa au anaupiga?
Yani giza nene kwa taifa kwasababu kalemani na ndugulile hawapo kwenye baraza la mawaziri?nchi yenye watu takribani 70mln!Sio bure huwenda giza nene lipo kwenye uwezo wako wakufikiri.Naona giza mbele
Nchi yangu tanzania