Tetesi: Ni kweli Ndugulile na Kalemani wameondolewa kwa ushawishi wa matajiri?

Ndugulile sasa ni wakati wake wa kutafakari namna ya kuwasaidia wananchi wa Jimbo lake.....Na ikitokea teuzi nyingine akatae..amekuwa na bahati mbaya na hii nafasi ya Uwaziri
Mwenyewe amejaa kiburi na dharau kama nini huyu mtu.
 
Ndungulile hana kismati cha uwaziri, ni muda sasa ajitafakari...
 
Aliandika hivi tarehe 20/5/2021

[emoji117]Kuna watu,kuna team haiwapendi kabisa viongozi kutoka kanda ya ziwa,haiwapendi kabisa viongozi kutoka kaskazin mwa Tanzania,hawaipandi kabisa pengine viongozi kutoka Chato..

[emoji117]Wapo katika mkakati kabambe wa kumuhujumu Waziri wa nishati,Kalemani,hii ndio team ya Vigogo2014 wapo kazini sasa..

[emoji117]Wana interests na nishati ya Tanzania,Kinyerezi as big project ya kuzalisha umeme inayomilikiwa na familia ya Jakaya wapo kazini kuhakikisha wana hujumu Waziri,infact wanajua mradi wa kuzalisha umeme wa rufiji hautokamilika.

[emoji117]Ko anytime tujiandae kuskia taarifa za Kalemani kuondolewa ofisini,sio kuwa kashindwa kusimamia wizara baada ya Magufili kufa,ila ni yaleyale tu kama ya Kakoko,watu wana interests zao,kumbuka huge projects kubwa kama gesi na matumizi ya luku,kesi za kina Rugemalila zote ni kuhusu nishati.

[emoji117]Ko watanzania tunatambua kazi nzuri uliyoifanya kuhakikisha ndani ya miaka yako ya utumushi umepeleka umeme bikini zaidi ya 9000+ kutoka vijiji 2000+ alivyoacha Jakaya kwa miaka 10 plus Escrow,Richmond nk..

[emoji117]Tutasimama na wazalendo wa taifa hili....

#NB Wabunge wetu jamani,inamaana mmeshindwa kabisa yani kuhoji habari za tume ya kibatili iliyoleta report ya kibatili juu ya covid19?? Yaani pesa za watanzania zikaninue machanjo ambayo ndani ya miaka 20 ijayo iyengeneze vijana wa kiume wanaotekenywa nyuma,tuwe na taifa la kuagiza KY na kutetea lesibians?? Ko yani na nyie mnaenda enda tu yani makofi pwaaah pwaaah pwaaah,hamuoni hili la covid kama ni misuse of power,miuse of resources?? Mbunge gani amepokea taarifa kuwa wapigakura wake wamekufa na corona? Ko wimbi la 1 na 2 la corona ilitagetiwa kuuwa Magufuli then wimbi la 3 na 4 mkilikalia kimya mjiandae kuzika wakina Bashiru na kanda ya ziwa yote na wale wazalendo nyie jifanyeni watu smart tu..

255[emoji1241]
 
Kwani kila mtu anafanya anachotaka? Au kuna taratibu za kufanya? Kalemani ameenda kwenye signing kama ile peke yake bila MD wa Tanesco kama nani?
 
Yawezekana kwani lisemwalo lipo. Hata hivyo walikuwa ni watendaji wazuri sana. Sijui kama wanaosema SUK... wote tujiandae.
 
Kwahiyo wewe unadhani Waziri anaweza kuingia mkataba kama huo bila Rais au Baraza la Mawaziri kuafiki?!
Stori kama hizi hata ukizisikia kwenye vijiwe vya ghahawa, unainuka zako, unaondoka tu!
 
Bibi yenu ameona kapwaya katafuta wa kufa naye, she has failed herself. Unaendaje kwenye umma unatangaza miezi sita ulikuwa probation, raisi unakuwa probation? Na repurcusion anaielewa?
 
Mama anaupiga mwingi [emoji3][emoji3][emoji3], tuache kulialia. Sababu amezisema wakati wa kuapisha- kwanini unatunga za kwako?

Go mama go'
 
Bibi yenu ameona kapwaya katafuta wa kufa naye, she has failed herself. Unaendaje kwenye umma unatangaza miezi sita ulikuwa probation, raisi unakuwa probation? Na repurcusion anaielewa?
Wanasesere mtanyoka. Tuliwaonya jiwe anawaharibu.
 
Mkuu you nailed it,
Shida kuu ya sisi watanzania ni kusahau kulikopitiliza haya majanga ni miezi 2-3 iliyopita lakn tushasahau.
Katika hili Samia yuko sahihi kwa sababu ameona hawendani na kasi yake.
 
Hawa mawaziri mnawapa lawama au hamjui kuwa waziri hawezi kupeleka muswada bungeni pasi Rais kufahamu?.
Mswada wa nini Chifu?! Kwenye maelezo yangu kuna hoja yoyote unayoona ilihitaji muswada kupelekwa bungeni?! Nimezungumzia suala la vifurushi na mfumo wa kulipia majengo kupitia LUKU! Kipi hapo kilihitaji kupelekwa bungeni? Ushawahi kusikia bunge likipitisha sheria ya vifurushi vya intaneti? Kuhusu Kaleman, wala siwezi kumlaumu kuhusu tozo kwa sababu hilo ni suala la bunge, lakini inasemekana huyu bwana alitengeneza kanuni bila kuhusisha vyombo husika, na hilo ndilo lilisababisha kupanda kwa bei ya mafuta baada ya kutenga 20% ya bulk import kwa wazawa! Ingawaje suala la kuwa-empower wazawa lina-sound vizuri masikioni but seems kulikuwa na kitu hakikuwa sawa!
 
Ndugulile sasa ni wakati wake wa kutafakari namna ya kuwasaidia wananchi wa Jimbo lake.....Na ikitokea teuzi nyingine akatae..amekuwa na bahati mbaya na hii nafasi ya Uwaziri
Amenufaisha sana makampuni ya simu kwa kupandishwa Bei ya bundle za internet. Kama hawakumuangalia shauri yake.
Kale man jembe la mwendazake Leo hii Yuko Kama mzee Halima.
 
Mama anaupiga mwingi [emoji3][emoji3][emoji3], tuache kulialia. Sababu amezisema wakati wa kuapisha- kwanini unatunga za kwako?

Go mama go'
Anapigwa au anaupiga?
 
Naona giza mbele
Nchi yangu tanzania
Yani giza nene kwa taifa kwasababu kalemani na ndugulile hawapo kwenye baraza la mawaziri?nchi yenye watu takribani 70mln!Sio bure huwenda giza nene lipo kwenye uwezo wako wakufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…