Tetesi: Ni kweli Ndugulile na Kalemani wameondolewa kwa ushawishi wa matajiri?

Kwa TANGANYIKA HAKUNA KINACHOSHINDIKANA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli hao mawaziri wote hasa kalemani maneno yalikuwa mengi sana, lakini sio kuwapa lawama nyingine ambazo sio zao, hivi kweli waziri anaweza ibuka huko tu akaamua vifurushi vya simu/tozo vipande?!!au kodi ya majengo ikusanywe kupitia luku?utendaji wa serikali hauko hivyo, ukiona hivyo baraza lote la mawaziri, makatibu wakuu wote wanahusika, kwa hiyo kwa hao wapya kuna mabadiriko watayafanya ili kupunguza bei za hayo uliyolalamikia??kuna kanuni waziri anaweza ipitisha bila rais kuiidhinisha, acheni siasa kwa kila jambo.
 
Hayo niliyotaja ni masuala ya kanuni, na ingawaje yanaenda Baraza la Mawaziri lakini huanzia kwenye Wizara Mama!! Kama ni suala la kitalaamu, inatarajiwa wizara mama ndiyo yenye utaalamu wa issue ya yenyewe, na ndo yenye majibu! Issue inapelekwa Baraza la Mawaziri kwa ajili ya kupitishwa tu, na Baraza likikataa, Wizara Mama ina wajibu wa kulishawishi baraza kwa hoja kwamba "hili suala ni muhimu"!

Sasa kama at the end of the day, suala lenyewe likija kuonekana lilikuwa na mapungufu, kumbe ulitarajia nani awajibishwe wakati Wizara Mama ndo yenye watalaamu wa issue husika?! Do you expect Rais avunje baraza zima la mawaziri kutokana na udhaifu wa jambo lililoletwa na wizara moja au mbili kama ni suala la kimtambuka?
 
Inaelekea hao mabepari wapinga maendeleo kwa umma ndio samia anawasikiliza. Niulize ..kwani lengo la serikali hii ni kuwatajirisha wafanya biashara tu au kuwaletea maendeleo wananchi? Kuna watu wanafikiri serikali inapaswa kuwapa nafasi wao kutajirika tu badala ya kuwapatia umma maendeleo. Watu watazidi kutia shaka kwamba huyo january amewekwa kwa maslahi ya mabepari wanyonyaji.
Mkongo wa taifa kusambazwa kwa njia ambapo serikali ilishawekeza ingekua gharama nafuu kwa umma.
 
Nasikia baada ya awamu ya 5 tumeingia awamu ya 4(6)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…