Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Tena afadhali yeye aliyesogeza mic pembeni kuliko waliojazana kumzunguka marehemu na kuzidi kumkosesha hewa pale stejini.
 
He was sick
Nikweli yani anaonekana kabisa analazimisha hapo stage....inasikitisha sana, ametutoka akifanya kile alichokua akikipenda maisha yake yote, kuimba na kutoa burudani kwa fellow human beings wacheze waburudike wasahau stress za maisha kwa muda, and make more money. RIP
 
mkuu hii intelejensia yako huenda ikawa kweli maana haiwezekani mtu adondoke chini hiivi hivi bila sababu.
 
huyo mtu mwenye kuhangaika na mic ni JIPU!
 
Masikini papa wemba sijui atamueleza nini mungu wake,kafia katikati ya tope la shetani kafa kazungukwa na wanenguaji waliovaa vichupi,tusimsahau mungu jamani
 
Mkuu umeelezea vizuri sana,Big up Mkuu.
 
Jamaa anamletea PW Wireless Mic katika stand (Pengine ilikuwa na sumu Tayari) Baada ya Muda Jamaa yuleyule anakuja na Kuchukua ile Mic na kutokomea nayo (Pengine alihisi sumu haitoshi akaenda kuongezea Dose) Jamaa anakuja na Mic ikiwa Vilevile kwenye stand, Anamwekea PW, halafu anaondoka kuelekea alikotoka. Muda Mfupi PW anaanguka ghafla, Watu wanamzunguka kusaidia. Jamaa yuleyule anatokeza tena. Cha kwanza Badala hata ya Kushangaa, au hata kwa Udaku tu kuinama na Kujua PW yupo katika hali gani, Yeye Bila Kustushwa anachukua Mic ile tena, Anasogea Kidogo, anacheki Noma! Kisha anatokomea Nayo. Mwanzo Unaweza Kusema Kuwa labda Kuisogeza Mic Pembeni ni sawa ili Kupisha watu Kumsaidia PW, Lakini Lengo lake linaonekana wazi, Anachukua Mic na Kuondoka Bila Kujali au Kushangaa aliyeanguka kimempata Nini au yu hali gani. Ungedhani Mtu anayehangaika na Mics awe mhudumu na angekuwa mstari wa Mbele kusaidia. Huyu Hakuwa Ndiye "Hit Man"?

 
Ungeenda video tukaona .... may be tungekuwa na cha kucomment!!
 
na MIC zilkua nyingi pale,kwa nini alihangaika na ile moja?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…