Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Nakukubali Mkuu
 
Sijajua kwa sababu zipi mpaka wafikie kumuua jukwaani?, lakini waliopanga hayo mauaji ni wanafunzi maana muuaji ambaye anaweza kuweka sumu kwenye mic ni mtu professional killer lakini mbona wameacha ushahidi mwingi kiasi hicho
Yawezekana walita ulimwengu ujue kuwa ameuawa!
 

Hii sumu, Haiwezi Kuua In ninutes hasa kwa Kuivuta. Ziko sumu Nyingine zinazoweza Kuua in Minutes Kwa kuivuta kwa mfumo wa hewa. Nyingine hata Ni za Mimea ya asili na Nyingine Ni Viungo vya baadhi ya Wanyama. Na sii vigumu Kupatikana. Lakini as a responsible person. Siwezi Kuzitaja hapa.
 
Maelezo mazuri ingawa unaweza kuwa unapotosha...Ukiiangalia vizuri ile video yule mtoa mike alionekana kabisa ananyatia, the guy seemed not an official assistant of PAPAA WEMBA, he was the asshole bitch with coward action!!

Na hata kama angekuwa Ni mojawapo ya Timu ya PW, Bado anaweza akawa Ni Msaliti na alilipwa Kufanya hivyo! Nakubali Kuonyesha Mtizamo tofauti, lakini Ukikanusha au Ukikubaliana na jambo lenye utata ikiwa huna uhakika 100% usitumie misuli sana Kulazimisha hoja yako, Nenda polepole! Naungana na wewe Kwenye Kumjibu msemaji aliyepita
 
Masikini papa wemba sijui atamueleza nini mungu wake,kafia katikati ya tope la shetani kafa kazungukwa na wanenguaji waliovaa vichupi,tusimsahau mungu jamani

Hayo ni mawazo yako mkuu. Mungu wetu ni mwema.Alimpa kipaji ni yeye sasa angekula wapi? Sadaka?
Tusijaribu kumuhukumu maana hukumubni yake Mwenye Enzi .
 
habar za leo mkuu..


uliahidi utakuja na uzi kuwahusu wanamuziki wakongo wanavyotumia ndumba.

ukiacha hilo pia ninaomba msaada wa kumpata "mtaalam" wa kunikerekebshia mambo yangu kama itawezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo uzi bado mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…