Koffi Olomide hapandi jukwaani hadi aende chooni na kujipaka mkojo wake huku JB Mpiana kila akienda kupanda jukwaani lazima ammeze chura, Werrason kila akienda kufanya onyesho lake basi lazima alale na sokwe chumbani kwake ( hapa simaanishi kuwa anafanya nae mapenzi ), Zaiko langa langa wakiwa na onyesho basi lazima watoe kafara ya Mtu ( hakuna onyesho la Zaiko langa langa likimalizika tu asife Mtu ndani au nje ya ukumbi, Extra Musica ile ya Kiongozi wao mpiga gitaa maarufu la solo Ibambi Ikombi ( wengi mnamjua kwa jina la Roga Roga ) hawapandi jukwaani hadi waogee maji ya maiti ambayo hutunzwa katika kifaa maalum, Fally Ipupa na Ferre Gola wanatumia uchawi wa aina moja ambao kama wakiwa nchini DR Congo na wana onyesho basi huenda kulala ndani ya jeneza kwa masaa machache kabla ya kwenda ukumbini na Fally Ipupa aliamua kutumia huu uchawi baada ya kushtukiwa na Wanamuziki wenzake kuamua kumtoa kafara Mama yake Mzazi ili album yake ya kwanza ambayo imemtambulisha, kumpa umaarufu mkubwa na kumtajirisha ya " bakandja " ifanikiwe, huku Hayati Pepe Kalle yeye alikuwa akipendelea sana kufanya mapenzi na wale mbilikimo ( eskimo ) kisha anawatoa kafara ya kuwauwa kishirikina na mwisho ni Hayati Madilu System ambaye yeye uchawi wake mkubwa na ambao kila mwana Congo anaujua ni tabia yake ya kupenda kuishi na majini huku akiwafanya ndondocha wana muziki wake ambao huwaona kinyota wako vizuri. Nadhani kwa ufafanuzi huu kuntu kidogo nitakuwa nimekidhi haja yako ya moyo na pia kuwa na faida kwa wengine pia.