Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Mkuu nazungumzia kuhusu video Na kinachoonekana, sizungumzii hisia Kama zako!

Nafikiri sababu hazina msingi wowote maana Kama Mic ingekuwa na sumu basi ingeanza kumuua yeye huyo aliyeiweka pale na kuiondoa ,
 
Titina capone nilimkubali penye utunzi wa tour eiffel kile kibao kwangu mimi kimetulia.

Siyo Capone Mkuu ni Alcapone. Jitahidi pia usikilize nyimbo iliyotungwa na Mwanafunzi wake mpiga drums wa sasa wa Wenge Musica BCBG Fundi Seguen Mignon Maniata uitwao PACTE DIVON utarudi kunipa mrejesho humu. Hiyo nyimbo ipo katika Album ya INTERNET na ni kibao namba nane ( 8 ).
 
4f34e703cb802e663a722c85ee2dfcd7.jpg
7f5b9b8c2f83962d0aa515391d4138d6.jpg
7a513c1c915837a92c61400b4311ea52.jpg
ecaf5181da769b8526c182a87b4fb255.jpg
3194bbe036fa981374c94575a3cf7ff8.jpg
3926ebef098690066ac0e56074d89446.jpg
54f217e72846610b3b08ebc6f2bbc111.jpg
e46e136c9e389f07a525f52a17800737.jpg

Punguzeni ujuaji
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Siyo Capone Mkuu ni Alcapone. Jitahidi pia usikilize nyimbo iliyotungwa na Mwanafunzi wake mpiga drums wa sasa wa Wenge Musica BCBG Fundi Seguen Mignon Maniata uitwao PACTE DIVON utarudi kunipa mrejesho humu. Hiyo nyimbo ipo katika Album ya INTERNET na ni kibao namba nane ( 8 ).
Shukran nitaitafuta.
 
Genta, ni wewe unayeandika hivi au..?
Eenhe..kabesa kawaje..?
 
Kwani kuna Gentamycine wangapi humu JF? Maswali ya kitoto siyapendi tafadhali.

Kama ni utu uzima basi kwa hapa gf umeupata leo kwa kuandika maneno mazima japo kidogo ni ngumu kuamini sana ,maana ulishajisema kuwa some timecuko yes na some timecunakuwa no.@
 
Habari wanaJf

Mimi ni mmoja wa watu walioguswa sana na kifo cha nguli wa muziki wa lumba barani Afrika papa wemba, hivyo nimekua nikiangalia mara kwa mara sana clip zinazoonesha tukio la kudondoka kwake jukwaani na kupoteza maisha moja ya clip hiyo ni hii itazame kwa makini

Ukiingalia kwa umakini clip hizo utagundua na kuungana nami kuwa kifo chake kinatokana na sumu zinazotumika kupitia mic kama ambavyo ziliwahi kuwaondoa wasanii wengi huko nyuma hasa wa kutoka DRC Congo

Papa wemba anadondoka chini mmoja wa wale crew badala ya kwenda kutoa msaada anawaacha wale wanenguaji watoe msaada yeye anakimbilia ile Mic aliyokuwa akiitumia Papa Wemba anaichukua na kuondoka nayo na kuacha nyingine zote kwanini??

Kwa wale wasiojua hii imekuwa njia maarufu sana ya kummaliza msanii kwa wale wabaya wake.

Karibu kwa mjadala
 
Duh, kwangu link imegoma kufungaka lakini kwa kweli kama hivyo ndivyo basi binadamu tu wabaya sana.
R.I.P Wemba!!
 
Habari wanaJf

Mimi ni mmoja wa watu walioguswa sana na kifo cha nguli wa muziki wa lumba barani Afrika papa wemba, hivyo nimekua nikiangalia mara kwa mara sana clip zinazoonesha tukio la kudondoka kwake jukwaani na kupoteza maisha moja ya clip hiyo ni hii itazame kwa makini

halo news: This is the moment an African rumba singer collapsed on stage mid-way through a song

Ukiingalia kwa umakini clip hizo utagundua na kuungana nami kuwa kifo chake kinatokana na sumu zinazotumika kupitia mic kama ambavyo ziliwahi kuwaondoa wasanii wengi huko nyuma hasa wa kutoka DRC Congo

Papa wemba anadondoka chini mmoja wa wale crew badala ya kwenda kutoa msaada anawaacha wale wanenguaji watoe msaada yeye anakimbilia ile Mic aliyokuwa akiitumia Papa Wemba anaichukua na kuondoka nayo na kuacha nyingine zote kwanini??

Kwa wale wasiojua hii imekuwa njia maarufu sana ya kummaliza msanii kwa wale wabaya wake.

Karibu kwa mjadala
hivmkuu report ya madaktar ikitoka na kuthibisha alikufa kwa presha na nk hutoona aibu ????
 
Habari wanaJf

Mods tafadhari hoja yangu ilindwe.

Mimi ni mmoja wa watu walioguswa sana na kifo cha nguli wa muziki wa lumba barani Afrika papa wemba, hivyo nimekua nikiangalia mara kwa mara sana clip zinazoonesha tukio la kudondoka kwake jukwaani na kupoteza maisha moja ya clip hiyo ni hii itazame kwa makini

halo news: This is the moment an African rumba singer collapsed on stage mid-way through a song

Ukiingalia kwa umakini clip hizo utagundua na kuungana nami kuwa kifo chake kinatokana na sumu zinazotumika kupitia mic kama ambavyo ziliwahi kuwaondoa wasanii wengi huko nyuma hasa wa kutoka DRC Congo

Papa wemba anadondoka chini mmoja wa wale crew badala ya kwenda kutoa msaada anawaacha wale wanenguaji watoe msaada yeye anakimbilia ile Mic aliyokuwa akiitumia Papa Wemba anaichukua na kuondoka nayo na kuacha nyingine zote kwanini??

Kwa wale wasiojua hii imekuwa njia maarufu sana ya kummaliza msanii kwa wale wabaya wake.

Hapa chini ni video ikionesha jinsi Mic ilivyobadilishwa

halo news: microphone replaced without papa wemba know

Karibu kwa mjadala
 
Back
Top Bottom