Ni kweli Papa Wemba kauawa na sumu iliyowekwa kwenye Mic?

Nenda ITC au Kinshasa kashtaki,,,,,umbea tu ulitaka aishi milele au jiuwe ukamsikilize peke yako huko alipoenda,,,tena unadai mods waache ujinga wako hapa,,sokomoko wahed bin mashadda wewe
Allah akusamehe maana hujui ulitendalo
 
Mara nyingi Papa Wemba husafiri na baadhi ya vifaa vyake vya sauti anapokuwa katika maonesho yake, na haswa hiyo mic anayotumia kuimba.
Baada ya yeye kuanguka, hakukuwa tena na maana kwa mic yake kubaki hapo, ndio maana ikaondolewa na huyo mtu wake wa sauti.
Mara nyingi vifo vya ghafla vya watu mashuhuri huambatana na visababu vingi vya hapa na pale vinavyovuma kwenye vijiwe vya kahawa.

Ova
 
Nakubaliana Na wewe. Katika hizo video hakuna tukio la kubadilishwa mic isipokuwa inaonesha maiki ikiondolewa baada ya Papa wemba kuanguka. Na kutokana Na namna alivyoanguka Na wingi wa watu ilibidi iondolewe tu.
 
Iangalie hiyo video ya pili utaona mic ikibadilishwa mkuu
 
Mara nyingi Papa Wemba husafiri na baadhi ya vifaa vyake vya sauti anapokuwa katika maonesho yake, na haswa hiyo mic anayotumia kuimba.
Baada ya yeye kuanguka, hakukuwa tena na maana kwa mic yake kubaki hapo, ndio maana ikaondolewa na huyo mtu wake wa sauti.
Mara nyingi vifo vya ghafla vya watu mashuhuri huambatana na visababu vingi vya hapa na pale vinavyovuma kwenye vijiwe vya kahawa.

Ova
Mkuu jambo ambalo unatakiwa kujua ni kuwa, jambo ovu juu yako linapokuwa limepangwa juu yako haliangalii unatua vifaa vyako au nini, mara nyingi kama hukuwa unajua mbaya wako utoka ndani ya nyumba yako mtu baki ambae hakujui hawezi kudhuru bila kuwatumia wale wanaokufahamu vizuri
 
upotoshaji mkubwa.. alikua anaumwa . tamasha hilo lilikua kwa siku 3 mfululizo
 
Umeongea kitu cha maana lakini umesahau kwamba jf watu wenye uelewa waliondoka wamehamia kwenye whatsapp groups. Humu tumebaki sisi wenye udumavu wa akili.
 
Mkuu jambo ambalo unatakiwa kujua ni kuwa, jambo ovu juu yako linapokuwa limepangwa juu yako haliangalii unatua vifaa vyako au nini, mara nyingi kama hukuwa unajua mbaya wako utoka ndani ya nyumba yako mtu baki ambae hakujui hawezi kudhuru bila kuwatumia wale wanaokufahamu vizuri

Hoja yangu ni tukio la kuondolewa mic yake ambalo mleta hoja ndio amelitumia kujenga hoja yake hii.
Kwa kawaida waandaaji wa onesho huweka mic zao, ila Papa Wemba anapokaribia kupanda huwekwa mic yake.
Hivyo, alipoanguka ikaondolewa na kurejeshwa ile ya waandaaji. So hakuna suala la kubadilishwa mic.
Kama ni kutegewa mic basi zingetegwa zote coz waandaaji hawawezi jua Papa Wemba angesimama kwenye mic ipi kati ya walizoandaa.
Endapo wangeanguka waimbaji wote ningeweza kusimama kwenye hii hoja.

Mdakuzi nimegundua mambo mawili kwako kwanza sina hakika kama hizo clip umezitazama vyema kitendo cha kubadilishwa mic ni kabla Papa Wemba hajadondoka na kupoteza fahamu, pili na kitendo cha kuchukua ile mic na kuziacha nyingine ni kitendo kilichofanyika baada ya papa wemba kudondoka hivyo tofautisha hivyo vitu na ujenge hoja yako
 
Kuna kitu kinaitwa autopsy, nadhani kwa kifo cha ghafla hivi hii autopsy hufanyika na ndio hueleza sababu ya kifo mfano kifo cha prince majuzi, na sio video. Ni kweli huyo aliyeleta mic haeleweki vizuri.. Ila kwa sumu kumuua papa wemba gafla pale ni lazima iwe kali sana (very strong and powerful dose) kiasi hata huyo mbeba mic ingemuathiri tu na hata waimbaji na wachezaji walio kua karibu pale na pia kumshika.

Naamini sumu ya hivyo kama ni biological nilazima papa wemba mwili ungeonyesha kuathirika nahata kwa namna yoyote ile kama kuvuja damu, kubadili ka mwili rangi au kubabuka, nahali hii ingewapata pia waliomsogelea na kumshika sababu hiyo sumu imemuingia papa kwa kuvuta hewa if that is the case.

Pia kama waliweka chemical za kutoa miale ya sumu (radio active materials), kumuua pale gafla nilazima wale walio mkaribia, na jamaa aliyebeba mic wataathirika maana hata yeye hakua na protective gears kuziba mikono au pua.

Hicho kifo hapo nadhani ni stroke kubwa au ugonjwa wa moyo (heart failure)......umri na fatigue vinajionyesha hapo dhahiri, anaonekana kabisa ana struggle kutoa sauti na kucheza....hiyo shuguli hapo stage huwa ni pevu hata vijana wenye afya zao huanguka.

Ni mtazamo wangu tu. Ila autopsy ndio yakusema ukweli....video itasaidia ushahidi wa kimazingira tu.
 
Nimecheki kwa makini sana clip zote zilizotupiwa na wadau. Kuna jamaa anaonekana anahangaika sana na MIC. Mara airudishe mara airejeshe stejini yaani hatulii. Hata Papa Wemba alivyodondoka yeye hakushtuka badala yake kaikimbilia na kuihamisha kabisa MIC kana kwamba MIC ina thamani kuliko uhai wa Papa Wemba. Hii inaonesha huenda Papa Wemba kapigwa kisanii
 
Kuna kitu kinaitwa autopsy, nadhani kwa kifo cha ghafla hivi hii autopsy hufanyika na ndio hueleza sababu ya kifo mfano kifo cha prince majuzi, na sio video. Ni kweli huyo aliyeleta mic haeleweki vizuri.. Ila kwa sumu kumuua papa wemba gafla pale ni lazima iwe kali sana (very strong and powerful dose) kiasi hata huyo mbeba mic ingemuathiri tu na hata waimbaji na wachezaji walio kua karibu pale na pia kumshika.

Naamini sumu ya hivyo kama ni biological nilazima papa wemba mwili ungeonyesha kuathirika nahata kwa namna yoyote ile kama kuvuja damu, kubadili ka mwili rangi au kubabuka, nahali hii ingewapata pia waliomsogelea na kumshika sababu hiyo sumu imemuingia papa kwa kuvuta hewa if that is the case.

Pia kama waliweka chemical za kutoa miale ya sumu (radio active materials), kumuua pale gafla nilazima wale walio mkaribia, na jamaa aliyebeba mic wataathirika maana hata yeye hakua na protective gears kuziba mikono au pua.

Hicho kifo hapo nadhani ni stroke kubwa au ugonjwa wa moyo (heart failure)......umri na fatigue vinajionyesha hapo dhahiri, anaonekana kabisa ana struggle kutoa sauti na kucheza....hiyo shuguli hapo stage huwa ni pevu hata vijana wenye afya zao huanguka.

Ni mtazamo wangu tu. Ila autopsy ndio yakusema ukweli....video itasaidia ushahidi wa kimazingira tu.
Papa wemba aliugua na kupelekwa ufaransa na akalazwa kwa matibabu mda mrefu sana. Alirudi kwao na wiki moja badae akaelekea kwenye hiyo shoo kifo kikamkuta. Uwezekano wa ugonjwa ni mkubwa.
 
Kuna kitu kinaitwa autopsy, nadhani kwa kifo cha ghafla hivi hii autopsy hufanyika na ndio hueleza sababu ya kifo mfano kifo cha prince majuzi, na sio video. Ni kweli huyo aliyeleta mic haeleweki vizuri.. Ila kwa sumu kumuua papa wemba gafla pale ni lazima iwe kali sana (very strong and powerful dose) kiasi hata huyo mbeba mic ingemuathiri tu na hata waimbaji na wachezaji walio kua karibu pale na pia kumshika.

Naamini sumu ya hivyo kama ni biological nilazima papa wemba mwili ungeonyesha kuathirika nahata kwa namna yoyote ile kama kuvuja damu, kubadili ka mwili rangi au kubabuka, nahali hii ingewapata pia waliomsogelea na kumshika sababu hiyo sumu imemuingia papa kwa kuvuta hewa if that is the case.

Pia kama waliweka chemical za kutoa miale ya sumu (radio active materials), kumuua pale gafla nilazima wale walio mkaribia, na jamaa aliyebeba mic wataathirika maana hata yeye hakua na protective gears kuziba mikono au pua.

Hicho kifo hapo nadhani ni stroke kubwa au ugonjwa wa moyo (heart failure)......umri na fatigue vinajionyesha hapo dhahiri, anaonekana kabisa ana struggle kutoa sauti na kucheza....hiyo shuguli hapo stage huwa ni pevu hata vijana wenye afya zao huanguka.

Ni mtazamo wangu tu. Ila autopsy ndio yakusema ukweli....video itasaidia ushahidi wa kimazingira tu.
Mkuu, hoja yako pia inaweza zungumzwa, kinacholeta ukakasi pale yule technician anapobadilisha kile kipaza sauti kisha baada ya papa wemba kuanguka yule yule anaonekana akiikimbilia ile mic na kuondoka nayo, aliona papa wemba akidondoka lkn kwakwe haikuwa muhimu kutoa msaada lakini kukimbia mic why?? Ngoja kuna clip naitafuta kabla ya tukio zima nikiipata nitaiweka pia
 
Back
Top Bottom