Kuna kitu kinaitwa autopsy, nadhani kwa kifo cha ghafla hivi hii autopsy hufanyika na ndio hueleza sababu ya kifo mfano kifo cha prince majuzi, na sio video. Ni kweli huyo aliyeleta mic haeleweki vizuri.. Ila kwa sumu kumuua papa wemba gafla pale ni lazima iwe kali sana (very strong and powerful dose) kiasi hata huyo mbeba mic ingemuathiri tu na hata waimbaji na wachezaji walio kua karibu pale na pia kumshika.
Naamini sumu ya hivyo kama ni biological nilazima papa wemba mwili ungeonyesha kuathirika nahata kwa namna yoyote ile kama kuvuja damu, kubadili ka mwili rangi au kubabuka, nahali hii ingewapata pia waliomsogelea na kumshika sababu hiyo sumu imemuingia papa kwa kuvuta hewa if that is the case.
Pia kama waliweka chemical za kutoa miale ya sumu (radio active materials), kumuua pale gafla nilazima wale walio mkaribia, na jamaa aliyebeba mic wataathirika maana hata yeye hakua na protective gears kuziba mikono au pua.
Hicho kifo hapo nadhani ni stroke kubwa au ugonjwa wa moyo (heart failure)......umri na fatigue vinajionyesha hapo dhahiri, anaonekana kabisa ana struggle kutoa sauti na kucheza....hiyo shuguli hapo stage huwa ni pevu hata vijana wenye afya zao huanguka.
Ni mtazamo wangu tu. Ila autopsy ndio yakusema ukweli....video itasaidia ushahidi wa kimazingira tu.