Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Ndege ya Rais imekuwa tracked mara nyingi ikielekea Oman kwa siri sana! Sijui huwa inapeleka nini kwa wajomba!
Huyu mama kisha tufanya wanaume wote wa Tanganyika mahanithi!
Nyumba juu ya maji toka mfalme wa Oman
 
Ukiangalia hoja za CAG zote zimeelemea upande wa Government spending.


Je watumishi wa Umma wote wanazalisha mali ?

Wanawajibika ipasavyo Kwa wakati?

N.k.
 
Kwenye hiyo Tume ya government spending ikimoendeza Rais miongoni mwa wajumbe wake napendekeza awepo ;

1. Proffessor Mussa Assad
2. Bw. Harold Uttoh
3. ….
4. ..
5………
N.k
 
Kisha ije kuundwa nyingine ya maswala ya Kikodi nchini.

Mwenendo wa sheria za kodi na mwitikio kwa walipakodi . N.k
 
Kwenye hiyo Tume ya government spending ikimoendeza Rais miongoni mwa wajumbe wake napendekeza awepo ;

1. Proffessor Mussa Assad
2. Harold Uttoh
3. ….
4. ..
5………
N.k
profesa ASad ni wa kumwondoa, sio professional, ana hisia za udini na usiasa hawezi kuwa neutral. bora uweke hata mtu asiye na masters kuliko yule profeseri. regardless of dini.
 
Back
Top Bottom