Ndombwindo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2013
- 1,387
- 2,085
“Asante sana mama maana kumsafirisha mnyama hai aina ya twiga kwa Meli ni gharama ndogo sana ukilinganisha na usafiri wa anga.” Alisikika haramia mmoja wa kiburushi….Wanyama hai ni pamoja na ng'ombe, mbuzi na kondoo.
“Meli ikiamua kushona makontena trip mbili tu mbona Serengeti yote inaweza ikahamia hapo An Naman Zoo nchini Oman chap, kwani wao hawapendi wanyama hai pia!”. ….
Alisikika mmatumbi mmoja pale ferry
Hawa viongozi wetu wanawaza vizuri sana.