Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

Hao ndio wanaolengwa we unadhani ng'ombe, mbuzi na kitimoto?

Hapo ni Twiga, Simba, chui, duma n.k
Ninavyoifahamu Oman huwa hawana interest na wanyama Hao wao wanapenda kula nyama ya Swala na nyama ya Nyati !! Mambo ya kufuga wanyama wa porini hawana interest kabisa kabisa !! Labda waanze sasa which I doubt !!
 
Itafika kipindi tu Muungano utavunjikaga wakabanane visiwani
Hakuna inzi wala tembo atathubutu siyo tu kuuvunja hata kujaribu kuuvunja. Mungu pekee anaweza na Mungu ni upendo na umoja. #SISI NI TAIFA LA TANZANIA. 🙏🙏🙏
 
Ni vizuri kila mtanzania kuwa na ndugu nje ya nje inapendeza sana

Haipendezi mtu anafunga safari anasema naenda kutembelea mjomba Manzese.kwa Mfuga mbwa nikitoka hapo naenda kumsalimia baba mdogo buguruni kwa kimbengele na Kesho nitaenda.vingunguti kumsalimia Shangazi

Inatakiwa uende.kusalimia mjomba Japan ukitoka unaenda kwa baba mdogo Marekani ukitoka unaenda kusalimia Shangazi China halafu nitaenda uswizi kumjulia hali mama Mkwe ambaye anayesikia kichwa kinamuuma

Hongera Mama Samia kuwa na mjomba na ndugu Oman
 
Itafika kipindi tu Muungano utavunjikaga wakabanane visiwani
Duh !! Kisha tutaanza kubaguana humu humu Nchini sisi kwa sisi kama alivyotuambia Hayati Nyerere !! Dhambi ya Ubaguzi huwa ina tabia ya kuendelea na kuendelea sawa na ukila nyama ya MTU ujue utaendelea tu kula hiyo nyama !
 
Ni vizuri kila mtanzania kuwa na ndugu nje ya nje inapendeza sana

Haipendezi mtu anafunga safari anasema naenda kutembelea mjomba Manzese.kwa Mfuga mbwa nikitoka hapo naenda kumsalimia baba mdogo buguruni kwa kimbengele na Kesho nitaenda.vingunguti kumsalimia Shangazi

Inatakiwa uende.kusalimia mjomba Japan ukitoka unaenda kwa baba mdogo Marekani ukitoka unaenda kusalimia Shangazi China halafu nitaenda uswizi kumjulia hali mama Mkwe ambaye anayesikia kichwa kinakuuma

Hongera Mama Samia kuwa na mjomba na ndugu Oman
Hiyo ITAPENDEZA SANA !! SISI SOTE NI WA MUNGU NA TUTARUDI KWAKE !! LIFE IS TOO SHORT TUPENDANE BANDUGU !!
 
Habarini

Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?

Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.

Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879

===========================================
 
Attachments

  • VID-20220615-WA0106.mp4
    4.8 MB
sawa mkuu unazungumziaje suala la kusafirisha wanyama hai ukihusisha na kuondolewa wamasai kule Loliondo na Ngorngoro?
 
Mungu iokoe Tanganyika
Mungu aliumba dunia moja na kuruhusu mtu aishi popote

Mungu hakuumba Tanganyika aliumba dunia kwa mujibu wa Biblia.Akasema zaeni mkaongezeke kila upande mkaijaze dunia sio mkaijaze Tanganyika.Wewe kama huna uzao sehemu zingine nje ya Tanganyika duniani wewe ni mpagani.Unadharau Mungu aliyesema mzee mjaze dunia.
Una pepo la umaskini na ulofa
 
Habarini

Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?

Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.

Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879

===========================================
Mbona hata Hayati Rais Mh.Maguguli,alishasema hili

Back
Top Bottom