Ni kweli Rais Samia ana nasaba na familia ya Mfalme wa Oman?

Habarini

Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?

Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.

Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879

===========================================
Hata Mh.Rais Magufuli,alituambia kama Mama Samia,ana wajomba Oman,na akatuambia hawa Oman ni ndugu zetu
 
Attachments

  • VID-20220615-WA0009.mp4
    6.3 MB
IMG-20220614-WA0019.jpg
Tunajua Sana !sema hao ndio ndugu zetu KWA Hali na mali!!

Waarabu sio ! TUNAISHI nao bongo kama wapo kwao huko uarabuni!!
Msikize Mh.Rais Makufuli,anasema wa Oman ni ndugu zake,walipomtembelea
 
Habarini

Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?

Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.

Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879

===========================================
Mimi kabila langu tuna vinasaba na Ibrahim na Isaka na Yakobo.
 
Aliwauzia nini hao wanyarwanda [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Aliwapa Twiga na wanyama wengine bure kwa kuwamwaga mbuga ya Chato.
 
Mneshindwa kumaliza ubaguzi hapo tu Zenji sembuse TZ, mbona watu wa bara hamtaki wamiliki ardhi na mkija huku mmejazana kwenye mashamba, mbona unaongea kama umezaliwa na kukulia "maskati"? tuhahoji uhusiano huu na wanyama wetu na sio dINI KAMA MNAVYOTWIST
Kwani mlitumwa mtuvamie? Hata bado mtayala Matunda ya Uvamizi
Huo undugu na Bi Tozo awakuutaka wakati ajatoboa yupo ‘Kiembe Samaki’ kwenye ile nyumb aliyotuonyesha alipokulia ya kusononesha.

Undugu wanautafuta baada ya kuwa raisi wa Tanzania, ana mijumba ya kulala chi nzima na mawaziri walambaa miguu wa fedha akiongoza awape unafuu wa kuja kuchota.

Mama ni predictable natoa miezi mitatu mradi wa Bagamoyo unapigwa sign vivo hivyo na incentives za ajabu wanazotaka.

Kwani Nani aliwaroga mkaivamia ZNZ? Wacha mteseke humu JF
 
Kutaka KUUZA WANYAMA HAI OMAN thats a very big deal
Sijawahi kusikia katika maisha yangu yote kwamba IPO siku Nchi ya Oman walikuwa wakihitaji kuchukua wild animals kutoka Tanzania !! Mwenye record yeyote ya zamani naomba anijuze ! Please !
 
Huo undugu na Bi Tozo awakuutaka wakati ajatoboa yupo ‘Kiembe Samaki’ kwenye ile nyumb aliyotuonyesha alipokulia ya kusononesha.

Undugu wanautafuta baada ya kuwa raisi wa Tanzania, ana mijumba ya kulala chi nzima na mawaziri walambaa miguu wa fedha akiongoza awape unafuu wa kuja kuchota.

Mama ni predictable natoa miezi mitatu mradi wa Bagamoyo unapigwa sign vivo hivyo na incentives za ajabu wanazotaka.
 
Attachments

  • IMG-20220615-WA0026.jpg
    IMG-20220615-WA0026.jpg
    149.4 KB · Views: 8
Sijawahi kusikia katika maisha yangu yote kwamba IPO siku Nchi ya Oman walikuwa wakihitaji kuchukua wild animals kutoka Tanzania !! Mwenye record yeyote ya zamani naomba anijuze ! Please !
Una umri gani? Kuhusu kununua visiwa vidogo vywa Zenji pia hujasikia? I don't to disrespect you
 
Kwaio tunakubaliana Zenji wanatubagua sana wabara?

Miafrika inavyopemda rangi nyeupe ni hatari. Karume Se Hakuoa miafrika myenzake Na wengi baada Mapinduzi wakajiolea kwa nguvu ngozir nyeupe. Thabit kombo alikuwa Na mtoto wa kike aliyezaa Na ngozi nyeusi kabla mavamizi.. Alimshauri rafiki yake Karume amwozeshe mwanawe Ali Karume. Alipoambiwa Ali kuhusu kuoa akaja juu. Akamwambia baba yake kuwa Wao wote wameoa ngozir nyeupe ,yeye katu hawezi kuoa cheusi . Akaenda Pemba kuoa mtoto wa kiarabu
 
Habarini

Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?

Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.

Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879

===========================================
Watanzania wengi wana vinasaba vya waarabu wa Oman.
 
Miafrika inavyopemda rangi nyeupe ni hatari. Karume Se Hakuoa miafrika myenzake Na wengi baada Mapinduzi wakajiolea kwa nguvu ngozir nyeupe. Thabit kombo alikuwa Na mtoto wa kike aliyezaa Na ngozi nyeusi kabla mavamizi.. Alimshauri rafiki yake Karume amwozeshe mwanawe Ali Karume. Alipoambiwa Ali kuhusu kuoa akaja juu. Akamwambia baba yake kuwa Wao wote wameoa ngozir nyeupe ,yeye katu hawezi kuoa cheusi . Akaenda Pemba kuoa mtoto wa kiarabu
Imelipa sana, maana karibu wote waliooa waarabu mambo yao kisiasa yakawanyookea sana!! Wengine wakaukwaa URais mpaka na watoto wakawa ma- Rais pia !!
 
Habarini

Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?

Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.

Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879

===========================================

Wavyama hai wanaosemwa unajuaje kama ni mifugo au wanyamapori? Soko kubwa ni kupeleka mifugo. Watanzania tunapenda sana majanga na kufikiria mabaya kabla ya mazuri🤔
 
Back
Top Bottom