mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Heeh!! Kumbe hujui Hao unawaona ni waarabu hapa Tanzania wote asilimia 95 ni wa mchanganyiko wa kiarabu na kiafrika ?? ( halfcaste) wapo mpaka mahalfcaste wa kichaga na kiarabu !! Mangikule mkuu hata tukiwabagua ni kazi bure tu maana Hao ni ndugu zetu tumechangia damu !! Hata mhe Mbowe anajua hivyo !!
Ukweli nikiambiwa kuhusu ubaya wa mkoloni. Simkumbuki mzungu wala mwafrika ninamkumbuka mwarabu.
Hawa ndio waliowahasi watumwa wao na kuacha kizazi chetu kikiwa hakina mabaki wala mahalf cast wa kiafrika na kiarabu,
Hawa ndio wanyama kuliko wanyama!! I HATE THEM!