Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Aliyewakomboa ni John Okello aliwatoa kwa waarabu, Nyerere alikuja kurestore Order tu na kufanya amani
Soma kitabu kwaheri ukoloni kwaheri uhuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyewakomboa ni John Okello aliwatoa kwa waarabu, Nyerere alikuja kurestore Order tu na kufanya amani
Acha kujitoa ufahamu hapo Zenji tu mbara hupati ajira wakati wazanzibari wamejaa kibao Tanganyika. Sembuse Serikali iruhusu na waarabu waajiriwe si mtakuwa watumwa maana hamuwezi kushindana nao kwenye Skills na elimu maana wao wanasomea ngambo wewe umesoma S/M mchambawima, ungepatia wapi ajira ua baba yako wa kiembe samaki?
Oman inunue ndege ya kusafirisha wanyama hai.Habarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.
Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879
MAGUFULI pia alikuwa ni Mrundi.Obama Pia ni Mkenya
BwM nae ni …
Tatizo unataka kulinganisha nchi zilizoendelea na nchi maskini kama TZ. Huko mbali zana London hapa jirani Zambia kuna Wachina ni polisi tena wa vyeo vya juu na ndio wanawanyanyasa sana raia na Serikali ikaamua kuwaondoaHapo ndio inatakiwa tusome pia sana na serikali ipambane kutoa wenye taalauma zaidi
Tatizo ni wizi wala usisingizie ajira watatuzidi akili kwa sababu wamesoma nje Hapana
Hebu twende sawa hapa sijaongelea Uarabu tu hapa ila wenye asili tofauti in general
Kwa mfano kuna wasomali wangapi waliozaliwa Tanzania na wana haki kama wewe? Ila serikalini wapo wawili tu ila kelele nyingi
Je ni % ngapi wangeomba ajira ?
Wachache sana hata wangekuwa elfu nchi nzima kuna tatizo gani kwenye nchi ya watu 60m
Mkuu tuongee na kujadili kwa hoja bila ukali wa maneno
Sijitoi ufahamu bali tembea yangu duniani imenifundisha mengi sana
Hebu angalia kwa mfano [emoji636] wazawa wachina wameombwa wajiunge jeshi la police ili kuendana na community zao hapo China Town London ukienda utakuta police wa kichina unajua kwa nini?
Je wameiteka ajira ya Police?
Njoo Bradford, Birmingham na hata London utakuta Wahindi police , lawyers, MPs na kila mahali wamo ila hawachangii hata 0.2% ya population ya [emoji636]
Serikali yetu ina ubaguzi ndio maana na watu kama wewe mna mentality za kina lukuvi
Kwani kuna shida?Habarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha wanyama hai kwenda arabuni saivi Rais Samia anasema ataimarisha usafiri wa majini ili kusafirisha wanyama hai.
Nijuzeni kuhusu hili swala.
View attachment 2260879
We unaonaje? Kauli ya Ndugai haipo karibu kutokea "Nchi itakuja kuoigwa mnada"Kwani kuna shida?
Ukiwa na akili za funza ndio utawaza huo upumbavu.We unaonaje? Kauli ya Ndugai haipo karibu kutokea "Nchi itakuja kuoigwa mnada"
Mkataba wa miaka mia au 66,99 SIO kuuza kipande cha ardhi kea kigezo cha wawekezaji!!?Ukiwa na akili za funza ndio utawaza huo upumbavu.
Sihangaikagi na wewe kwasababu najua kabisa ntasumbuana na mental disorder personUkiwa na akili za funza ndio utawaza huo upumbavu.
Akili huna ndio maana role models wako ni failures wenye akili ndogo ila vichwa vikubwa akina Ndugai na Mwendazake 😄😆Sihangaikagi na wewe kwasababu najua kabisa ntasumbuana na mental disorder person
MAGUFULI pia alikuwa ni Mrundi.
Unauzaje sasa? Mkataba si uko subject na terms and conditions?Mk
Mkataba wa miaka mia au 66,99 SIO kuuza kipande cha ardhi kea kigezo cha wawekezaji!!?
NGOJA TUONE hatma
Mk
Mkataba wa miaka mia au 66,99 SIO kuuza kipande cha ardhi kea kigezo cha wawekezaji!!?
NGOJA TUONE hatma
Ukweli nikiambiwa kuhusu ubaya wa mkoloni. Simkumbuki mzungu wala mwafrika ninamkumbuka mwarabu.Tatizo ni nini mkuu? Mbona munaogopa waarabu kiasi hicho? au ndio nyinyi wale mkiwaona tu waarabu suruali zinaanza kuvuka wenyewe?
Ukweli nikiambiwa kuhusu ubaya wa mkoloni. Simkumbuki mzungu wala mwafrika ninamkumbuka mwarabu.
Hawa ndio waliowahasi watumwa wao na kuacha kizazi chetu kikiwa hakina mabaki wala mahalf cast wa kiafrika na kiarabu,
Hawa ndio wanyama kuliko wanyama!! I HATE THEM!
UK watu wenye asili ya India wameshika nyadhifa kubwa kubwa Serikalini kama vile waziri wa fedha waziri wa mambo ya ndani na meya wa jiji la London ni Sadiq Khan !! Na wengi tu wapo wabunge na kadhalika !! Ubaguzi hauna nafasi katika karne ya 21,Hapo ndio inatakiwa tusome pia sana na serikali ipambane kutoa wenye taalauma zaidi
Tatizo ni wizi wala usisingizie ajira watatuzidi akili kwa sababu wamesoma nje Hapana
Hebu twende sawa hapa sijaongelea Uarabu tu hapa ila wenye asili tofauti in general
Kwa mfano kuna wasomali wangapi waliozaliwa Tanzania na wana haki kama wewe? Ila serikalini wapo wawili tu ila kelele nyingi
Je ni % ngapi wangeomba ajira ?
Wachache sana hata wangekuwa elfu nchi nzima kuna tatizo gani kwenye nchi ya watu 60m
Mkuu tuongee na kujadili kwa hoja bila ukali wa maneno
Sijitoi ufahamu bali tembea yangu duniani imenifundisha mengi sana
Hebu angalia kwa mfano [emoji636] wazawa wachina wameombwa wajiunge jeshi la police ili kuendana na community zao hapo China Town London ukienda utakuta police wa kichina unajua kwa nini?
Je wameiteka ajira ya Police?
Njoo Bradford, Birmingham na hata London utakuta Wahindi police , lawyers, MPs na kila mahali wamo ila hawachangii hata 0.2% ya population ya [emoji636]
Serikali yetu ina ubaguzi ndio maana na watu kama wewe mna mentality za kina lukuvi
Si suala la kukariri hata yale mabaki ya waarabu waliobaki kipindi cha ile biashara ya utumwa bado wapo tabora, shinyanga pwani nk. Kule shinyanga kuna sehemu inaitwa maskati fisi. Wale jamaa wananyanyasa wenyeji bila huruma. wanaongea kisukuma lakini ni mashetani pure!Acha kukariri ndugu