Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Ni ndugu yetu,watanzaniaSija panic kabisa ila huwa sipendi kuongea utumbo najua tunatofautiana kila kitu kuanzia fikra mawazo na mambo mengi sana
Unasumbuliwa na chuki na unaumia bure kwani hata ukiandika kitu gani duniani watu hawawezi kuacha kuhamia nchi zingine kisa watu kama nyie mlio na wivu wa kijinga
Unawachukia waarabu sawa, huna imani nao sawa hizi ni fikra zako na ulivyo wewe lakini at the end of the day kila mmoja anaendelea na maisha yake
Hivi ungekuwa mzawa wa baadhi ya nchi Latin America ambapo waarabu walienda huko kuishi na kufanya biashara na mwisho kuwa Marais na kutawala Mbona ungekufwaaaa kwa wivu?
Jisomee kidogo uone watu waliotembea na mwisho kuwa Maraisi au Mawaziri katika nchi ambazo hawa kuwahi hata kuwa na ndoto
Nisamehe kwa maneno kuntu ila nakuomba acha ubaguzi kwani wewe sio chochote katika dunia hii na utakufa uwaache au watakuacha