Ni kweli Rais Samia na Serikali hawakujua kuwa bilioni 100 haiwezi kuleta suluhu lolote kwenye hali ya mafuta na mfumuko wa bei? Tunakwama wapi?

Hizo b 100 una hakika zilitolewa mkuu?Siasa na sihasa labda.
 

Watanzania huwa hatuweki kumbukumbu sawa,Rais Samia alitoa tozo ya mafuta Tsh 100 sawa na Tsh 100bilion akaja akagundua kuwa kutoa Tsh 100 serikali itakuwa na hadhara ya Tsh 100 bilion. Akarejesha tena tozo ile ile ya Tsh 100 Ili kupata tena Tsh 100 bilion alizokuwa amezikosa.​

Sasa alichokifanya ni mahesabu ambayo hayahitaji kuwa na degree, amerudia Zoezi la awali la kuoa tozo ya Tsh 100 akaja na tafsiri mpya ya kusema ametoa ruzuku ya Tsh 100bilion Wabunge wanapiga makofi.​

Kwa mantiki hiyo Hakuna unafuu utakao patikana.​

Kazi iendelee tukutane 2025 Free man mbowe Akiwa makamu wa pili wa Rais .​

 
Walichofanya ni kujaribu kucheza na saikolojia za watu, hakuna la maana lililofanyika kwani hilo wanaloita punguzo halitashusha gharama za usafirishaji hata kwa senti tano........kama ni nauli za mabasi na daladala bei itakuwa palepale na kadhalika kusafirisha bidhaa mkito utabaki uleule. Tofauti ingekuwepo kama wangeondoa elfu moja kwenye bei zilizokuwepo.
 
Hivi nyie na akili zenu mlikua hizo pesa zimetolewa kusaidia mafuta??


Toka zimetolew Kuna ahueni ??

Hizo Pesa zimeingizwa kwenye mifuko ya watu ,wahuni waliumizwa miaka 5 ya JPM, Sasa ndo Pesa zao zinarudishwa .

Aiseeeeeee
 
Kna mtu nimemwambia hili suala...hiz pesa zimetafunwa ndio maana wanatumia sana nguvu kutushawishina kwenye document ya bei za ewura wameweka na heading kabisa "JINSI RUZUKU YA BIL 100 ILIVYOPUNGUZA BEI" upumbaaaav mtuup

Hahahaha yani mtu anaweka billion 100 kupunguza 150 kwenye mafuta aiseee
 

Uzuri watanzania wana akili sana uwezi kuwadanganya bei zimeshuka wakati wanaona kabisa!
 
300? Ndio imepungua?
Bei ilikua 3156, sasa hivi ni 2994. Hapo utofauti ni 300?
 

Hahahahaha yani nikama kujiibia na kuweka mfuko mwingine halafu unaanza kutafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
 
Mshauri mwenyewe unaye msemea ni mwigulu mchemba.
 
Imenishangaza nilipoona mafuta imepungua sh100+ maana yake ukiiondo D'saalam,mikoa yote bado yapo kwenye 3000.

Rais,hii inatosha kuwapunguzia wananchi ukali wa maisha?
 
Ameongeza mishahara na posho bado hamliziki?
 
Huku kwetu imepungua 105 kwahiyo mafuta ni 3095. Hapo unakuta majitu yanataka nauli zishuke! Yaani ipungue 100 tu unataka nauli iwe Kama wakati mafuta yanauzwa 2300 seriously?

Mama hapo kapigwa mwingi
 
Imenishangaza nilipoona mafuta imepungua sh100+ maana yake ukiiondo D'saalam,mikoa yote bado yapo kwenye 3000.

Rais,hii inatosha kuwapunguzia wananchi ukali wa maisha?
Mkuu, hiyo pesa haitoshi na haimpunguzii maumivu mwananchi hata kidogo, ila Mimi naona ifike mahala kila mwananchi apambane kivyake kuliko kuililia serikali maana haitakaa kumsaidia mwananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo imepigwa fix tu, kwa hizi bei hakuna kitu wamefanya kupooza ukali wa maisha kwa mdanganyika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…