Ni kweli Rais Samia sio mfuatiliaji? Wasaidizi wake wana msaada gani? Kazi yao ni nini? Au na yeye hashauriki?

Ni kweli Rais Samia sio mfuatiliaji? Wasaidizi wake wana msaada gani? Kazi yao ni nini? Au na yeye hashauriki?

Mama Samia ni Goi Goi kama walivyo wengi wa wanzazibar na ndio maana anatumia nguvu ya wino mwekundu kupeleka/ kumwaga pesa zanzibar huku watanzania wakiteseka ukiangalia hata hilo suala la umachinga liko kisiasa zaidi…

Why Zanzibar hawakufumuliwa mabanda kama walivyofanya huku bara..
 
Ni dosari ndogo za kawaida sana, kichwa cha RAIS kinabeba mambo mengi na mazito, kupitiwa ni ubinadamu
Utetezi gani huu,kwa sababu ya mambo mengi ndiyo maana anaandikiwa lkn kilichoandikwa ndicho hicho.kuongoza nchi ni Jambo zito sana,kwa Nini ateseke kwa ajiri ya hawa chawa tu.
 
Back
Top Bottom