nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Mama Samia ni Goi Goi kama walivyo wengi wa wanzazibar na ndio maana anatumia nguvu ya wino mwekundu kupeleka/ kumwaga pesa zanzibar huku watanzania wakiteseka ukiangalia hata hilo suala la umachinga liko kisiasa zaidi…
Why Zanzibar hawakufumuliwa mabanda kama walivyofanya huku bara..
Why Zanzibar hawakufumuliwa mabanda kama walivyofanya huku bara..