Ni kweli Sallam SK ni mwakilishi wa Apple music East Africa na Diamond ana hisa Zikiii?


WCB ni ya Joseph Kusaga kina nasibu wote wako wameshikwa na Joe!
 

Ndio maana wcb ikafunguliwa kwa sababu malalamiko kwa clouds yalizidi!
Wote hao ni watoto wa joe na Ruge (rip)
 
Hii double standard yao ndio sijawahi kuielewa walah!!
Ama kweli binadamu ni mnafiki sana.
 
Ndiyo ameanza subiri mletewe summons mtakutana naye kwa pil

Hii double standard yao ndio sijawahi kuielewa walah!!
Ama kweli binadamu ni mnafiki sana.
Double standard ni ipi? Ruge alituumiwa kuwa anawatumia wasanii kuwalipa malipo madogo then ukiikataa unapigwa ban nyimbo zako kusikikika je diamond Platnumz anafanya hivyo?
 
WCB ni ya Joseph Kusaga kina nasibu wote wako wameshikwa na Joe!
Diamond anamiliki 45% ya shares na ndiyo CEO, dogo kichwa sana anajua kuitumia brand yake kwa faida.
Joseph hamiliki hata clouds, ni ya familia ya Kusaga na watoto wote wa Mzee Kusaga wana shares.
Jina lililopo kwenye shares ni la mke wa Joe hapo sasa wanajuana wao kama familia kwenye shares zao wanavyogawana, big issue ni kuwa Diamond ndiye CEO na maamuzi na mamlaka yote ya ki-CEO yako kwake. Dogo ni big brain.
 
Mkuu hapo na wewe umechanganya mambo kama huyo unayemjibu kuna WCB lebel, kuna Wasafi media hivi ni vitu viwili tofauti WCB lebel ndio mmiliki wa asilimia 💯 lakini kwenye media ndio ana share ya asilimia 45 sasa hapa tulikuwa tunajadili label sio media
 
Sorry for that, WASAFI media ndiyo anamiliki 45% wakati WCB record label anaimiliki kwa 100%.
 
Huyu mmakonde watamuua aisee, huku yule mzungu Sarah naye amekomaa anataka wagawane mali. Me nilijua ile haukuwa ndoa official kumbe siyo hivyo.
 
Huyo WAKAZI ni ME kweli!?
Mbona maandishi yake yatia kichefuchefu...

Hawezi andika kiswahili tu.

Hovyo kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…