King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Anaedhulumiwa aendi kuongea Instagram. Yeye na management wangekuwa mahakamani sasa hivi wanadai haki yao.
Ndiyo ameanza subiri mletewe summons mtakutana naye kwa pilato.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaedhulumiwa aendi kuongea Instagram. Yeye na management wangekuwa mahakamani sasa hivi wanadai haki yao.
.Ndiyo ameanza subiri mletewe summons mtakutana naye kwa pilato.
Music industry bongo ni ngumu na ina umafia sana toka enzi za kina Sugu na wasanii kibao walilia sana na Clouds Media ambayo ndo ilikua imeshika industry kwa enzi hizo. Zama hizi za digital industry imeshikwa na WCB/Diamond na vilio nishasikika sana tu kutoka kwa wasanii mbalimbali.
Mmakonde awe mpole tu aache ego na pride za kishamba akae na watoto wa mjini vizuri apige pesa yake maisha yaenda.
The World have Never been Fair.!
Jambo linalonifurahisha,
Sijui kweli au ni uongo ila hizi kelele wanazopigiwa wcb ndio zilezile walizojuwa wakipigiwa clouds na ruge ila kwa sasa wcb ina watetezi wengi watakwambia mikataba na biashara ila wakati ule wakimlaumu ruge hilo suala la biashara na mikataba hawakutaka kulisikia.
Kwamba Platinum ndio mwenye kuamua nani aende na nani asiende ?Ila kiukweli kibongo bongo kwenda international ni ngumu kinoma bila kupita kwa platnumz vita ni kubwa mno
Hii double standard yao ndio sijawahi kuielewa walah!!Jambo linalonifurahisha,
Sijui kweli au ni uongo ila hizi kelele wanazopigiwa wcb ndio zilezile walizojuwa wakipigiwa clouds na ruge ila kwa sasa wcb ina watetezi wengi watakwambia mikataba na biashara ila wakati ule wakimlaumu ruge hilo suala la biashara na mikataba hawakutaka kulisikia.
HapanaKwamba Platinum ndio mwenye kuamua nani aende na nani asiende ?
Ndiyo ameanza subiri mletewe summons mtakutana naye kwa pil
Double standard ni ipi? Ruge alituumiwa kuwa anawatumia wasanii kuwalipa malipo madogo then ukiikataa unapigwa ban nyimbo zako kusikikika je diamond Platnumz anafanya hivyo?Hii double standard yao ndio sijawahi kuielewa walah!!
Ama kweli binadamu ni mnafiki sana.
🤣🤣🤣🤣🤣WCB ni ya Joseph Kusaga kina nasibu wote wako wameshikwa na Joe!
Diamond anamiliki 45% ya shares na ndiyo CEO, dogo kichwa sana anajua kuitumia brand yake kwa faida.WCB ni ya Joseph Kusaga kina nasibu wote wako wameshikwa na Joe!
Mkuu hapo na wewe umechanganya mambo kama huyo unayemjibu kuna WCB lebel, kuna Wasafi media hivi ni vitu viwili tofauti WCB lebel ndio mmiliki wa asilimia 💯 lakini kwenye media ndio ana share ya asilimia 45 sasa hapa tulikuwa tunajadili label sio mediaDiamond anamiliki 45% ya shares na ndiyo CEO, dogo kichwa sana anajua kuitumia brand yake kwa faida.
Joseph hamiliki hata clouds, ni ya familia ya Kusaga na watoto wote wa Mzee Kusaga wana shares.
Jina lililopo kwenye shares ni la mke wa Joe hapo sasa wanajuana wao kama familia kwenye shares zao wanavyogawana, big issue ni kuwa Diamond ndiye CEO na maamuzi na mamlaka yote ya ki-CEO yako kwake. Dogo ni big brain.
Sorry for that, WASAFI media ndiyo anamiliki 45% wakati WCB record label anaimiliki kwa 100%.Mkuu hapo na wewe umechanganya mambo kama huyo unayemjibu kuna WCB lebel, kuna Wasafi media hivi ni vitu viwili tofauti WCB lebel ndio mmiliki wa asilimia [emoji817] lakini kwenye media ndio ana share ya asilimia 45 sasa hapa tulikuwa tunajadili label sio media
Wasafi Media Diamond anamiliki 48% na siyo 45%.Sorry for that, WASAFI media ndiyo anamiliki 45% wakati WCB record label anaimiliki kwa 100%.
Alright [emoji106]Wasafi Media Diamond anamiliki 48% na siyo 45%.
Huyo WAKAZI ni ME kweli!?Baada ya Harmonize kulalamika kuwa wasambazaji wa kazi zake Zikiii wanakula sahani moja na WCB kumhujumu , wadau mbali mbali wameibuka na kuanza kunyetisha za ndani.
Inavyoonyesha WCB hawakwepeki kwenye Sanaa ya bongo , utawatukana unavyojua Ila ukiingia studio unawakumbatia bila kujua.
Wakazi kamwaga mashairi na kusema kuwa Diamond ana hisa Zikii, hvyo harmonize mda wote amefanya kazi na diamond mpak sasa.
Wakazi anaandika.
View attachment 2535346
View attachment 2535347
Kwenye comment kuna mdau akaenda mbali zaidi kudai Sallam ni mwakilishi wa Apple music East Africa
View attachment 2535348
Ya kweli haya ??