Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Mbona Yeye hujamwambia huu Ujumbe katika Post yake aliyoanza Kunitukana? Mnafiki mkubwa Wewe hebu nitokee hapa sawa?Kolosai 3:8 yaondoeni matusi vinywaji mwenu,
Ifanikiwe kwa wachezaji gani?Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Mimi ni Chizi kama Mamaako.Wejamaautakuwa chizisiokwamatusihayo iposikuutavusnguo
Simba SC ile iliyotoka Sare ya 3 kwa 3 na Yanga SC ilikuwa na Wachezaji gani? Huna hadhi ya Kubishana nami juu ya Soka la Bongo hebu waache Mashabiki Werevu wa Yanga SC ninaowaelewa hapa kama akina Bila bila, Dr Matola PhD na Wengine waje tuzungumze Soka na Wewe tupishe tafahdhali sawa?Ifanikiwe kwa wachezaji gani?
Wachezaji walewale uliosema washabiki wasipoteze muda wao kwenda uwanjani kushuhudia dhahama hiyo tarehe 20 April 2024?Simba SC ile iliyotoka Sare ya 3 kwa 3 na Yanga SC ilikuwa na Wachezaji gani? Huna hadhi ya Kubishana nami juu ya Soka la Bongo hebu waache Mashabiki Werevu wa Yanga SC ninaowaelewa hapa kama akina Bila bila, Dr Matola PhD na Wengine waje tuzungumze Soka na Wewe tupishe tafahdhali sawa?
Rubbish and Nonsensical.Wachezaji walewale uliosema washabiki wasipoteze muda wao kwenda uwanjani kushuhudia dhahama hiyo tarehe 20 April 2024?
Kabla ya u-rubbish na u- Nonsensical unaomaanisha, pitia hapa chini kwanza uone jinsi unavyo-contradict posts zako...!!Rubbish and Nonsensical.
Wacha watudharau tu lakini Simba tunajipanga kupambana ili tushinde.Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.
Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
โ๏ธ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐น๐ฟ.Simba SC ile iliyotoka Sare ya 3 kwa 3 na Yanga SC ilikuwa na Wachezaji gani? Huna hadhi ya Kubishana nami juu ya Soka la Bongo hebu waache Mashabiki Werevu wa Yanga SC ninaowaelewa hapa kama akina Bila bila, Dr Matola PhD na Wengine waje tuzungumze Soka na Wewe tupishe tafahdhali sawa?