Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

Yes naunga mkono Hoja, Sisi Yanga tusijiamini Sana kiasi kwamba tukaona tumeshinda hii mechi ya tarehe 20.04.2024.

Yatupasa kuwa na tahadhari kubwa Sana tukishindwa kuwafunga makolo basi hata sare Inatosha kwetu .

Kiukweli hii game ijayo Nina wasi wasi moyoni kwangu ,ila all in all kila la kheri kwetu wananchi.
 
Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.

Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Ifanikiwe kwa wachezaji gani?
 
Ifanikiwe kwa wachezaji gani?
Simba SC ile iliyotoka Sare ya 3 kwa 3 na Yanga SC ilikuwa na Wachezaji gani? Huna hadhi ya Kubishana nami juu ya Soka la Bongo hebu waache Mashabiki Werevu wa Yanga SC ninaowaelewa hapa kama akina Bila bila, Dr Matola PhD na Wengine waje tuzungumze Soka na Wewe tupishe tafahdhali sawa?
 
Wachezaji walewale uliosema washabiki wasipoteze muda wao kwenda uwanjani kushuhudia dhahama hiyo tarehe 20 April 2024?
 
Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo mabaya ya Simba SC wakashikwa na butwaa na wasiamini nini kimetokea.

Najua huenda huu Uzi wangu baadae ukaja Kukimbiliwa na Watu kwa Kitakachotokea na Maono yangu ninayoyaona.
Wacha watudharau tu lakini Simba tunajipanga kupambana ili tushinde.
 
Simba SC ile iliyotoka Sare ya 3 kwa 3 na Yanga SC ilikuwa na Wachezaji gani? Huna hadhi ya Kubishana nami juu ya Soka la Bongo hebu waache Mashabiki Werevu wa Yanga SC ninaowaelewa hapa kama akina Bila bila, Dr Matola PhD na Wengine waje tuzungumze Soka na Wewe tupishe tafahdhali sawa?
✍️𝐌𝐒𝐄𝐌𝐀𝐉𝐈 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐂𝐕 𝐙𝐀𝐊𝐄 🇹🇿.

“Ukienda kwenye Derby ya Kariakoo kwa mawazo kuwa umeshinda mechi tano mfululizo hii itakuwa ya sita utaingia chaka, ukienda Kwenye Derby kwa mawazo kwamba mpinzani wangu ni dhohofu hali utaingia chaka.

“Derby ina umuhimu wake, ina upekee wake na ina ugumu wake, sisi kama Yanga hatuitazami Simba kama ninyi mnavyoitazama, sisi tunaitazama Simba kama timu Tishio ambayo tunawania nayo ubingwa, tunaitazama Simba kama timu yenye wachezaji wazoefu waliocheza michezo mingi mikubwa.

“Yanga tunaitazama Simba kama timu yenye viongozi makini, ukiniambia nitaje viongozi makini kwenye ligi, Simba siwezi kuwaacha, wanauzoefu na mipango ya kushinda mechi.

🌀Ally Kamwe.
𝐌𝐬𝐞𝐦𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐊𝐥𝐚𝐛𝐮 𝐲𝐚 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚.
 
Back
Top Bottom