round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Is this True maana imeniwia vigumu kuamini kwa ukubwa wa Simba
Kabla hawajabeba kombe mara nne mfululizo 2017/18 - 2020/21 kulikuwa na ukame wa miaka mitano bila kombeNi minne au Kama sikosei mi 5 hivi
Unajieleza sanaLiverpool wamekaa miaka zaidi 29 bila ya Kombe. New castle walisota miaka zaidi ya 70 bila Kombe lolote la maana mpaka wiki hii walipopata Kombe la karabao.
Ni kama vile utopolo wanaamini makombe ni mali ya Simba Kwa ivo isipochukua Kombe Yanga lazima ishangae na yanga ikichukua lazima ifanye sherehe kubwa hadi wanawehuka!!bj
Man u huu msimu wangap hivi, vipi arsenal nao. Anashanga misim 6 ya simbaLiverpool wamekaa miaka zaidi 29 bila ya Kombe. New castle walisota miaka zaidi ya 70 bila Kombe lolote la maana mpaka wiki hii walipopata Kombe la karabao.
Ni kama vile utopolo wanaamini makombe ni mali ya Simba Kwa ivo isipochukua Kombe Yanga lazima ishangae na yanga ikichukua lazima ifanye sherehe kubwa hadi wanawehuka!!
Hawa ndiyo walioanza kuishabikia utopwinyo enzi za Mayele.Man u huu msimu wangap hivi, vipi arsenal nao. Anashanga misim 6 ya simba
Ilikuwa 2012 mpk 17Kabla hawajabeba kombe mara nne mfululizo 2017/18 - 2020/21 kulikuwa na ukame wa miaka mitano bila kombe
Mbona maelezo mengi wakati jibu ni "ndio" au "hapana" tuLiverpool wamekaa miaka zaidi 29 bila ya Kombe. New castle walisota miaka zaidi ya 70 bila Kombe lolote la maana mpaka wiki hii walipopata Kombe la karabao.
Ni kama vile utopolo wanaamini makombe ni mali ya Simba Kwa ivo isipochukua Kombe Yanga lazima ishangae na yanga ikichukua lazima ifanye sherehe kubwa hadi wanawehuka!!
Unatoka nje ya maadaLiverpool wamekaa miaka zaidi 29 bila ya Kombe. New castle walisota miaka zaidi ya 70 bila Kombe lolote la maana mpaka wiki hii walipopata Kombe la karabao.
Ni kama vile utopolo wanaamini makombe ni mali ya Simba Kwa ivo isipochukua Kombe Yanga lazima ishangae na yanga ikichukua lazima ifanye sherehe kubwa hadi wanawehuka!!