Ni kweli Simba wamewahi kukaa misimu zaidi ya sita bila kombe la ligi kuu ?

Liverpool wamekaa miaka zaidi 29 bila ya Kombe. New castle walisota miaka zaidi ya 70 bila Kombe lolote la maana mpaka wiki hii walipopata Kombe la karabao.

Ni kama vile utopolo wanaamini makombe ni mali ya Simba Kwa ivo isipochukua Kombe Yanga lazima ishangae na yanga ikichukua lazima ifanye sherehe kubwa hadi wanawehuka!!
 
Unajieleza sana
 
Man u huu msimu wangap hivi, vipi arsenal nao. Anashanga misim 6 ya simba
 
Mbona maelezo mengi wakati jibu ni "ndio" au "hapana" tu
 
Unatoka nje ya maada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…