Drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?π
Mungu Ibariki Tanzania
Dah mpwa pumzika sasa ππππDrama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu wajumbe walikupitisha?Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mjini hakuna kazi rahisi π€£π€£π€£Dah mpwa pumzika sasa ππππ
Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?π
Mungu Ibariki Tanzania
Watu wanakusikia ukizungumza ukimaliza watu wanaendelea na majukumu yao.Akija mwinginena mwingine tunamskiliza mara tu amalizapo kuzungumza tunaendelea na majukumu yetu.Hata wewe Tlaatlaah siku ukizungumza tutakusikiliza mara umalizapo maisha yanaendelea kujenga taifa na familiaHii ni desturi ya watanzania wazalendo hasa ukiwa unazungumza utapeli wa kisiasaAma kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
Jana polepole amekupelekea moto Sasa endelea kuinama hivyo hivyo mpaka zamu ya jasusi la mbinguni ifikeAma kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ni sisi bado na rungu za bichwa vya wahuni,hatitoki kwenye reli ng'oAma kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
ni Lisu pekeyake ndie alitumia mwendokasi kuendesha taasisi na kuzipindua,Tafsiri ya Cartoon
Pole Pole anawaambia CCM na Serikali kuhusu mwendo hatarishi katika kuongoza nchi na rough za uchaguzi ila wao wamekomaa mwendo wa ngiri mkia juu na hawana brake... what do they expect?View attachment 3448974
Namna polepole alivyowasambaratisha ccmJe, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah
Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
yaani mropokaji katulia zake mafichoni halafu kundi la malofa limejaa jf kushangilia kupotoshwa kindezi na kubebwa ufala wa kifikra na msukule huo uliowabeza kwa dharau sana awali.Namna polepole alivyowasambaratisha ccm
213K views Β· 1K reactions | I love chickens and these chickens are so beautiful.π₯°π₯°πβ€οΈ #chicken #chickenfarm | Thida Clips
I love chickens and these chickens are so beautiful.π₯°π₯°πβ€οΈ #chicken #chickenfarmwww.facebook.com
Akikujibu uni tag πMkuu wajumbe walikupitisha?
Uchaguzi huru, haki na wa wazi.......UNAONGEA KAMA VILE KIPANDE CHA mb** kiko sehemu za siri.Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah
Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
usipotoshe wadau mrangiAkikujibu uni tag π
Gentleman mwanangu kila nkimuliza hanijibu
Ova
Yes gentleman,Uchaguzi huru, haki na wa wazi.......UNAONGEA KAMA VILE KIPANDE CHA mb** kiko sehemu za siri.
Ndiyo mambo yalivyo kuvumilia tuusipotoshe wadau mrangi
wajumbe ni ndugu na familia kwa wanaCCM wote walio tia nia za ubunge na udiwani, na walishafanya wajibu wao kwa weledi mkubwa sana, na sasa vikao vya uteuzi taifa vinaendelea na kazi yao ya uteuzi.
kumbuka,
kilichofanyika ni kura za maoni, ambapo matokeo yake yanaweza kupelekea yeyote miongoni mwa waliopigiwa kura za maoni akepewa fursa ya kupeperusha bendera ya chama uchaguzi mkuu wa kihistoria October.
Na ndio maana huoni mbwembe za sijui nani kashinda au hajashindwa kura za maoni. Ni vizuri kufahamu kwamba yale ni maoni tu na sio turufu ya kugombea ubunge.
Ni vizur zaidi kua wastahimilivu na wenye subra vikao vikiendelea π