Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

Mkuu wajumbe walikupitisha?
vikao vya kitaifa vya uteuzi vinaendelea gentleman, huenda kesho, wale ambao chama kitaridhishwa nao wakatangazwa rasmi.
Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra kuhusu hilo.

But wajumbe walifanya kazi nzuri mno kwangu na ninawashukuru sana kwa kunipatia nafasi ya kuniskiliza, kunielewa na hatimae kwa kura za hiari yao kuamua walichoamua kwa maslahi yao wenyewe.πŸ’
 
Tundu Lisu amesahaulika kabisa mitandaoni kwa ujinga na upotoshaji wa polepole dah πŸ’
 
Mkuu kweli polepole kakupapasa pabaya yaani umewashwa siku nzima?
imenisikisha sana eti uropokaji wa kilofa wa polepole umefanya chadema masalia kumsahau kabisa Tundu Lisu,

unadhani kulikoni hali hiyo imejitokeza ghafla πŸ’
 
Dah mpwa pumzika sasa 😁😁😁😁
Mpwa kachanganyikiwa mno, yuko kwenye denial state. CCM wamechanganyikiwa kiasi hoja hazijibiki tena, ngumi zinamiminika kiasi kwamba wanatafuta pa kukumbatia, punde tu jitu litadondoka na kulamba sakafu.

Vv
 
Moto ni ule ule.
 
Utaniwekea kaclip basi
Maana sisi watazamaji tu na wasikilizaji

Ova
kwasasababu ni jambo la kitaifa,
litakua live kwenye vyombo vya habari vyote nchini, haina kificho au mbambamba yoyote ile gentleman.

CPA Amos Makala atakua live πŸ’
 
kwasasababu ni jambo la kitaifa,
litakua live kwenye vyombo vya habari vyote nchini, haina kificho au mbambamba yoyote ile gentleman.

CPA Amos Makala atakua live πŸ’
Basi ntamtumia ujumbe hyo cpa makala anipe mwenyewe link nimtazame πŸ˜„

Ova
 
Mbona Ndg yangu Tilalila nimekuuliza mnalipwa bei gani? Acha roho mbaya
 
Safiiivbuku 7 chaapu
 
Mbona Ndg yangu Tilalila nimekuuliza mnalipwa bei gani? Acha roho mbaya
Gentleman,
kazi za kizalendo za kujitolea kama hii ya kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi, malipo yake ni neema na baraka za Mungu tu na si vinginevyo πŸ’
 
Mpwa kachanganyikiwa mno, yuko kwenye denial state. CCM wamechanganyikiwa kiasi hoja hazijibiki tena, ngumi zinamiminika kiasi kwamba wanatafuta pa kukumbatia, punde tu jitu litadondoka na kulamba sakafu.

Vv
naona pwagu na pwaguzi mnapotoshana kindezi na kupeana moyo kilofa kabisa dah 🀣
 
uzuri wote wanacheza ngoma ya lissu. imagine hekaheka zote, chanzo ni yeye. ni dhairi wengine hulipwa pia wakimnanga lissu. kina polepole na gwajima wameibushwa na moto huu kuzimika sio rahisi sana.
 
uzuri wote wanacheza ngoma ya lissu. imagine hekaheka zote, chanzo ni yeye. ni dhairi wengine hulipwa pia wakimnanga lissu. kina polepole na gwajima wameibushwa na moto huu kuzimika sio rahisi sana.
umepigaje apo gentleman?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…