Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Tulia sindano ikuingieJe, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah
Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
Au sio. Ila ipo siku tutazungumza lugha moja. Kwasasa endeleeni kuhudumia matumbo yenu.sure,
wengi wamekataa kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa kisiasa nchini kama polepole π
Ramli ipi Ile ya kusokomezewa?hiyo ramli ni useless gentleman π
Hao ni wake wenza wanapambana kumchafua ex husbandJe, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah
Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?π
Mungu Ibariki Tanzania
πView attachment 3449026
Nakuongezea na ya kuchukua picha yangu
Mtapata shida sana. Mliweza kusukuma mambo yenu kwa vitisho; huyu kawalipua akiwa mafichoni, unasengenya ajitokeze mmnyamazishe. gentleman epuka kusaliti nchi yako.najaribu tu kuwajulisha wadau wa JF kwamba Tayar chadema wamemtelekeza Lisu korokoroni na sasa wanafurahia zaidi upotoshaji wa polepole π
ila mwanaume mbea ni jambo la kusikitisha sana aise,Mtapata shida sana. Mliweza kusukuma mambo yenu kwa vitisho; huyu kawalipua akiwa mafichoni, unasengenya ajitokeze mmnyamazishe. gentleman epuka kusaliti nchi yako.
Sasa mbona unasumbua mahakama bwana kwani hujui km TAL kashikiliwa na nani huko magereza, na kesi za kubumbaooh kumbe?
ndio maana Lisu katelekezwa korokoroni nini?π
kwa taarifa yako, kwa sasa yupo nje ya mipaka. Wapo usalama watiifu kwa nchi. Hammpati ng'ooila mwanaume mbea ni jambo la kusikitisha sana aise,
ili utoe umbea wako Lazima ujifiche mafichoni dah π
Ulijuaje nawe acha unaa wako bwana, mbona mahakamani mnawadhibiti hadi kuingia court venuechadema masalia hawaendi tena kumtembelea ukonga wamekomaa kupotoshwa na polepole tu π