Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

imenisikisha sana eti uropokaji wa kilofa wa polepole umefanya chadema masalia kumsahau kabisa Tundu Lisu,

unadhani kulikoni hali hiyo imejitokeza ghafla πŸ’
Mbona umepanick na kuweweseka sana gentleman, hebu tuambie tatizo ni nini?
 
Kazi unayo mwaka huuπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Gwajima ni 24 au 25 hivyo kaa kwa kutulia
 
Kazi unayo mwaka huuπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ Gwajima ni 24 au 25 hivyo kaa kwa kutulia
kwa Neema na Baraka za Mungu kazi na majukumu yangu ya kila siku yanakwenda vizuri sana na kwa ufanisi wa kiwango cha juu sana gentleman.

why Lisu kusahaulika ghafla hivi ndugu mdau? Kawakosea nini na yupo korokoroni?πŸ’
 
Vipi umetoboa kwa kura feki mbele ya wajumbe? Ulichakachachua ngapi vile!?πŸ˜‚
 
Acha kuishi kwa kubahatisha maisha,ishi maisha halisi itakuwa huru,unachotakiwa kujua ni kuwa kila kitu kipo kwenye mwelekeo wanaoutamani wazalendo na sii ule uelekeo wa wahuni/wanamtandao!
 
Lissu kuendelea kuwa lock up ndio tatizo zaidi kwa sababu hakuna cha kuwaunganisha wanaccm ukipita vijiweni wanaccm wanaponda upinzani wanaponda lakini kungekuwa na siasa halisi kila mtu angekuwa upande wake
 
Ya Lissu subiri mahakama kuu ipange tarehe ya kesi na bi Mashavu na henchmen wake wapewe summons.
Huko Sweden Matinyi anaomba poo kwa kesi ya Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…