We umetokea pwani sasa nenda hata wanawake ni watupu hata kupika yamekaa kiharaki tu tambua hilo nimekaa mbeya mjini ,moshi na mwanza wanawake yaani hawako vile romantic wengin hawa mavazi ya majeans hayatupi mvuto tunataka kanga na madera ndo tunawapenda wanawake wa ivyoWatu wanaotoka bara ndio wakija huku wanaona mambo mapya hivyo huwapaisha, pia inachochewa na jitihada kubwa inayofanywa na wazawa kuisifia Tanga kama chimbuko la mapenzi ila kiuhalisia hakuna jipya huko.
Kwahio huko ndio wanajua mapenzi?vipi ndoa zao zinadumu kuliko huku bara?Huku ndio kwenyewe washamba na wapumbavu wivu utawaua ndo wanaponda wanawake wanajielewa kwanza kwa nafasi yao hawana mambo sijui 50/50 kama kenge wa bara
Mikoa ya Lindi na Mtwara sijawahi kwenda,kumbe Tanga ni Promo tu ila Hamna kitu, kuna mikoa iko vizuri zaidi[emoji3]Tanga iko overrated alafu mtwara Kwa wamakonde iko underrated..Tukirudi nyuma wamakonde walichukuliwa wakapelekwa Tanga kwenda kulima katani(mkonge),na wengi wao hawakurudi tena mtwara.Kuna uwezekano wamakonde ndy waliwafundisha hao wenyeji hayo mambo
Kwenye chakula nawapa yes..wanawake wa Tanga ni mafundi wa mapishi,sijui majorani zao wa pale mlima mrefu wanakwama wapi!! Si wakapige chabo Tanga?
Mleta mada umewahi kwenda mikoa ya kusini Lindi na mtwara? Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha
Ndugu yangu ndege JOHN anajua hbr ya wanawake wa Lindi na mtwara,ngoja aje kutoa ushuhuda..karibu shehe wangu ndege JOHN [emoji28]
😂Tanga iko overrated alafu mtwara Kwa wamakonde iko underrated..Tukirudi nyuma wamakonde walichukuliwa wakapelekwa Tanga kwenda kulima katani(mkonge),na wengi wao hawakurudi tena mtwara.Kuna uwezekano wamakonde ndy waliwafundisha hao wenyeji hayo mambo
Kwenye chakula nawapa yes..wanawake wa Tanga ni mafundi wa mapishi,sijui majorani zao wa pale mlima mrefu wanakwama wapi!! Si wakapige chabo Tanga?
Mleta mada umewahi kwenda mikoa ya kusini Lindi na mtwara? Huko wanawake wanakatika viuno Feni inasubiri,na ukiwa mzembe kitandani wnakuaibisha
Ndugu yangu ndege JOHN anajua hbr ya wanawake wa Lindi na mtwara,ngoja aje kutoa ushuhuda..karibu shehe wangu ndege JOHN [emoji28]
Ndoa yale yale kama sehemu zote ila unatakiwa kujua kule kuna mchanganyiko wa watu kibao na makabila almost yote yapo sasa ni wewe tu zipo jamii kama waarabu pure,kuna wasomali, wagunya ,agombe agombee hizi baadhi ya jamii zinazotoka nje ya nchi baadhi na wapo Wachagga ,wapemba watumbatu ,wamakonde ,wapare ndo kibaoKwahio huko ndio wanajua mapenzi?vipi ndoa zao zinadumu kuliko huku bara?
Sawa mkuu,ila wadau wanasema ni Tanga iko ovarrated tu katika suala la mapenzi ila ipo mikoa ipo vizuri tu na haitangazwi tangazwiNdoa yale yale kama sehemu zote ila unatakiwa kujua kule kuna mchanganyiko wa watu kibao na makabila almost yote yapo sasa ni wewe tu zipo jamii kama waarabu pure,kuna wasomali, wagunya ,agombe agombee hizi baadhi ya jamii zinazotoka nje ya nchi baadhi na wapo Wachagga ,wapemba watumbatu ,wamakonde ,wapare ndo kibao
Wenyeji wasambaa ,wabondei ,wazigua na wadigo
Haiko overrated ni haki yao viwu tu basi hao wamefuat misambwanda na sio jamii ya wanwake wa tanga hao ni wanyakyusa wa mkoani hii kanda ya kaskazini misambwanda hamna sio asili yao🤣🤣🤣Sawa mkuu,ila wadau wanasema ni Tanga iko ovarrated tu katika suala la mapenzi ila ipo mikoa ipo vizuri tu na haitangazwi tangazwi

[emoji3][emoji3]Haiko overrated ni haki yao viwu tu basi hao wamefuat misambwanda na sio jamii ya wanwake wa tanga hao ni wanyakyusa wa mkoani hii kanda ya kaskazini misambwanda hamna sio asili yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kitu kizito.Tumepigwa
SanaNa kitu kizito.
Km kutoa tigo ndy mapenzi,basi naweza Kusema Tanga na Zanzibar wanayajua mapenzi.Ila km ni mapenzi Kwa maana ya mapenzi yenyewe,basi ni wa kawaida snMikoa ya Lindi na Mtwara sijawahi kwenda,kumbe Tanga ni Promo tu ila Hamna kitu, kuna mikoa iko vizuri zaidi[emoji3]