Safi mkuu,au umepigwa libwata hujielewi?[emoji3]Mkuu naunga mkono hoja kwa [emoji817] wamwera na wamakonde NI balaa...nimepata mwali wa kujua mambo ya kunoga aisee bwana wewe NI hatari.nineamua nioe kbs Huku japo mwanzo nikidhani kwamba nitarudi kaskazini kuoa
Mkuu tanga hakuongozi kwa taraka,Tanga hakuna kesi ya mauwaji yaani unapata unachokitaka na kukiotaTatizo wadau wanasema mko overrated tu ila hamna kitu,kuna jamaa hapo kasema bora hata mgogo wake alieachana nae[emoji3]
Namtafuta mmoja nitest mtamboKaribu ukutane na wazigua hutajuta
Karibu TangaNamtafuta mmoja nitest mtambo
waweza ni pasia
Nitakuja kwa ajiri hiyo tuKaribu Tanga
Isije ikawa limbwata ndio linashika watu hawachomoki,Je ni kweli mnawaandalia maji ya kuoga yenye mdalasini,Iliki na kuwabeba wanaume kwenda bafuni au ni kamba tu?Mkuu tanga hakuongozi kwa taraka,Tanga hakuna kesi ya mauwaji yaani unapata unachokitaka na kukiota
Hizo kamba sidhani kama ni kweli ila sifa yetu ni Utu na utulivuIsije ikawa limbwata ndio linashika watu hawachomoki,Je ni kweli mnawaandalia maji ya kuoga yenye mdalasini,Iliki na kuwabeba wanaume kwenda bafuni au ni kamba tu?
Utu na Utulivu Bila ya Upole na Uzuri ?Hizo kamba sidhani kama ni kweli ila sifa yetu ni Utu na utulivu
Kuna mtanga mbaya mkuu au kuna mtanga asiyekuwa mpoleUtu na Utulivu Bila ya Upole na Uzuri ?
Ulikuwa hujamalizia vigezo ndio maana ikabidi niulize kabisaKuna mtanga mbaya mkuu au kuna mtanga asiyekuwa mpole
Ndege JOHN unakula tu maisha.Kwanza mademu wa kaskazini wamenyata miguu na shape hamna kitu NI rangi TU zinawabeba halafu kuhusu mapenzi me Nimromb wa kwetu singida ila wanaringa Sana kiburi kingi...Huku kusini wao hawana hizo kwanza mademu wanajua kunyenyekea hatari Tena wakijua una vihela hela utapendwa na wakwe mpk ushangae utapewa zawadi za Nazi mpk ukome..Kama me demu Wangu namromba daily ninavyosema daily I really mean it halafu hata hakatai Wala Nini mpk nashangaa Ina maana huyu hachoki tu haumii mtoto Wala anakususia mbususu ufe nayo ukarauge nayo unavyotaka mixer mauno ya kuzidi aisee niombeeni wakuu Nina mengi ya kuyaeleza ila Basi TU..
[emoji3]Kama wanajua mapenzi kweli hata huo ufedhuli wa mume utayeyuka tu,we fikiria fedhuli karudi akiwa amelewa anawekewa maji ya manukato na anabebwa kwenda kuoga lazima atatulia tu,labda kama hizi sifa ni uongoHakuna uhusiano wowote kati ya mapenzi ya dhati na kudumu kwa ndoa au kuolewa sana kwa wasichana kwasababu ndoa ina pande mbili ktk kuidumisha so haimaanishi umemuoa mtanga basi wewe mgogo utamfanyia ufidhuli mwingi akuvumiliea kwasababa ni mtanga yalipozaliwa mahaba, haipo, itavunjika kwasababu ya ugogo wako haina mjadala imeisha.
Nikionaga hili jina nabaki kucheka, Kuna sehemu nilisoma kirefu chake ni Both Of My Boobs Are Yours[emoji1]Bombay
Ndo ivo mkuu tunaendelea na kazi Huku tukila kwa urefu wa kamba zetu.Ndege JOHN unakula tu maisha.
Ooh ndy maana wewe ni shombeshombeee.kumbe mtoto wa TAHizo kamba sidhani kama ni kweli ila sifa yetu ni Utu na utulivu