Ni kweli Tanzania inabana Matumizi kama viongozi wake wanavyodai?

CCM inahitaji wajinga wengi ili iendelee kutawala
 
Kawaida tulisomaga hivyoo madawati tulichangia elfu 3 nakumbuka unarudushwa kama huna
 
Watu 736 ??! Ngumu kuamini hii !!
 
Kawaida tulisomaga hivyoo madawati tulichangia elfu 3 nakumbuka unarudushwa kama huna
Hayo maisha kama unayaona kawaida basi mabadiliko hayakuja nchini hata miaka 100
Kweli siamini haya niliyosoma
Kawaida? Haya
 
Ni aibuuuu kubwaaaa
 
Hayo maisha kama unayaona kawaida basi mabadiliko hayakuja nchini hata miaka 100
Kweli siamini haya niliyosoma
Kawaida? Haya
Eh unataka nimchangie nani ili kama serikali hawaoni tofauti wewe mwananchi ninani uone tofauti.

Mimi nilikuwa nasaidia nilicho nacho wamama fulani kila mwezi nawapa vitu vya elfu ishirini na 5 maana ndio uwezo wangu na kama akiwa na shida ni elfu tano mahitaji yake basi kama 30 per month wakaja kupata mtu aliyewaajiri akawapa kila mitu anahela kiasi fulani wewe nilitukanwa hadi basi . Nimekoma aisee bossy ukimwona mtu maskini mwache wewe sio Mungu wake . Anajua kwanini amewapa hali hiyo na anajua atawasaidiaje kuna mtu anakupab25 per month kweli??
 
Daa pole sana sana, wapo wenye roho mbaya na kukushangaa unaposaidia ila hiyo isikufanye uache kusaidia pindi unapoona mtu ana uhitaji
Usiangalie watasema nini bali fanya kwa mema tu
Sababu za nchi masikini kutokuendelea ni hizo za kutokusaidiana
Hela ambazo zingewasaidia watu wanakula wachache kwa tamaa zao
Angalia wenzetu Charities nyingi ndio zinasaidia wananchi na wanyama na viumbe wote na ndio maana wanaendelea, sio kila kitu kitoke serikalini pia bali hata sisi ni kusaidiana tunapopata kitu
Mimi natoa hela kwenye Charities na ni kawaida sana kwa watu wa huku
Wana maduka yao napeleka nguo mara nyingi na ndio zinatumwa kwenye nchi masikini na zingine zinauzwa hapa hapa maana hata Ulaya kuna maduka ya mitumba na watu wananunua na hela zinasaidia tena wahitaji
Saidia tu wala usikwamishwe na watu wabaya toa hata kwa siri
 

Yani Hilo darasa linatisha Sana.
 
Kweli kabisa !
 
Yani Hilo darasa linatisha Sana.
Ni aibu sana mkuu na inasikitisha sana
Kuna mambo huwa nayaona kwa karne hii nasema hivi hawa wakuu wa wilaya na mikoa huwa wanapata wapi nguvu za kuzunguka na mashangingi na wakurugenzi, wabunge
Wanaona watu wakiishi zaidi ya wanyama ndio furaha ama?
Nimeona pia watoto wanakatisha kwenda shule pindi mvua zinapokuwa nyingi na alipouliza mhusika eti kuna plan ya kutengeneza barabara na daraja
Si ajenge hata la dharura kwani hela za baba yake?
 
Wajumbe 700+ wotehao wa kazi gani? Haki ya nani hili nchi ni la kipumbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…