Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
Vipi kuhusu maalimu seif
Ni MUELEWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu maalimu seif
Hahahaha
Nafarijika kuishi na watu hao, nafahamu vingi kupitia kwao.
Mengine makubwa mno
Kuna moja nataka nithibitishe baada ya tar 28. Eti hata boss anaweza asijue mipango inayoendelea?
Kwamba wanaume wameamua kujilipua. Liwalo na liwe.
Tusubiri, ikiwa ndivyo nitakualika chakula cha jioni
Doh! Bro una majibu yanakatisha tamaa .Ni MUELEWA.
Mfumo Ulio asisiwa na CCMKuna watu wanajifanya wazee wa k nyama.kwenye vi grocery mtaani ukimzingua mtu kidoogo anakuuliza "hivi unanijua mm ni nani"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa wewe ngedere jike mimi dume
Do you have proof? Or ni conspiracy theoryila ni TISS
NaulizaDo you have proof? Or ni conspiracy theory
Achaga unanga...hiyo mada ifungwe sasa kwani inatuhusu nini...?
Mambo mengi yanafanyika, kuna mazuri ambayo yanafanyika na pia yapo mabaya.Kwanini unataka kufanya kazi huko! ?
nakuona rikiboy katika ubora wakoTAAZIA
Mambo mengi yanafanyika, kuna mazuri ambayo yanafanyika na pia yapo mabaya.
Ili nchi izidi kusonga mbele ni lazima ihakikishe mambo yote ambayo yatakuwa kikwazo cha maendeleo au kulihatarisha Taifa yanakuwa yanaondoshwa. Mfano, rushwa ipo na rushwa ni adui wa haki. Mpokeaji hutumia muda mwingi kutafuta mbinu ya kuficha uovu wake, hapo kumbuka ana majukumu ya kikazi anakuwa hayafanyi kiusahihi tena.
Naamini kutotimiza wajibu wako ni kuvunja haki ya mwengine na haki ya mwengine ikivunjwa taifa lazima liingie matatizoni. Haya mambo ni lazima yaondolewe, yananichukiza sana.
Vile vile kuna mambo kama nchi tunapasa kuiga toka sehemu mbalimbali, inaweza ikawa hapahapa nchini au nje ya nchi.(watu wana ideas zao), Katika Taifa naamini si kila alokuwepo serikalini ana uwezo wa kulipelela Taifa mbele, wapo watu ambao hata sauti zao hazisikiki na wana ideas na wanaweza kulipeleka mbele Taifa kutokana na ushauri wao, nani atapeleka hizi taarifa kama sio usalama wa Taifa?.
Nina hakika nina uzalendo wa kutosha kulisaidia Taifa.
hapana sina kadi ya CCM.Sawa sawa kabisa. Una kadi ya CCM?
Habari zaidiHahahaha
Nafarijika kuishi na watu hao, nafahamu vingi kupitia kwao.
Mengine makubwa mno
Kuna moja nataka nithibitishe baada ya tar 28. Eti hata boss anaweza asijue mipango inayoendelea?
Kwamba wanaume wameamua kujilipua. Liwalo na liwe.
Tusubiri, ikiwa ndivyo nitakualika chakula cha jioni
hapana sina kadi ya CCM.
Hao ni matapeli, kazi hii ni hatari kwa mhusika hivyo kujulikana ni luharibu kazi na kujiweka hatariniKuna watu wanajifanya wazee wa k nyama.kwenye vi grocery mtaani ukimzingua mtu kidoogo anakuuliza "hivi unanijua mm ni nani"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanausalama wote Wana tabia moja ya kuu ya mnyama anaitwa mbwa mwitu. Wakimuona adui Wana mshambulia na kumla nyama Ila Kwa bahati mbaya ukibakiwa na dam au vipande vya nyama baada ya kula Wana kutafuna na wewe. Ndio maana mbwa mwitu akila nyama lazima akasugue mdomo kwenye majani asijulikane amekula nyama. Same to usalama wakiwa kazin baada ya kaz kamwe hawajuwani mwiko kuongea.Wanabodi, weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha!
Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wana usalama/TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa!
Yaani kila mmoja ana majukumu yake na mahala pa kureport. Hawana mazoea ya mwenzangu uko wapi, unafanya nini!
Hawaaminiani, hawajuani kivile!
Hii kitu ni kweli au ni mfumo kama tu wa TAMISEMI au taasisi zingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ni dhana tu[emoji38]Mambo mengine yanawapa shida bureee!! Hebu achana na hao sijui usalama!
Fanya shughuli zako au jadili akina diamond na Tanasha!
Kwanza hawapo hao watu wa usalama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635][emoji481][emoji1634][emoji482][emoji482]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya kwetu mnufaika mkubwa ni ccm na mwathirika mkuu ni mpinzaniKuna wanaojuana, kuna wasiojuana, kuna wanao-wafanyia ujasusi wenzao uku nao wakifanyiwa ujasusi bila kuwajua wanaowafanyia ujasusi, kuna wanaofanyishwa kazi za usalama bila wao kujijua, iwe kwenye siasa, biashara, dini kote wapo majasusi.
Tatizo la ujasusi wa bongo umejikita kwenye kukusanya taarifa zaidi za mambo mbali mbali kusaidia utawala uliopo madarakani tofauti na wenzetu ambao wanajikita sana kwenye kuzuia hatari zote mbaya zizazohusu uchumi na siasa bila kuegemea upande wowote wa kisiasa.
TISS wanatakiwa kujikita kwenye ujasusi wa kiuchumi jinsi ya kutengeneza mabilionea, jinsi ya kupigana vita ya kiuchumi na mataifa jirani, kuhakikisha taarifa za kiujasusi wanazokusanya zinafanyiwa kazi haraka bila kuegemea upande wowote.