Ni kweli TISS hawafahamiani na hawaaminiani?


In your Dream !
 
Kwanini unataka kufanya kazi huko! ?
Mambo mengi yanafanyika, kuna mazuri ambayo yanafanyika na pia yapo mabaya.

Ili nchi izidi kusonga mbele ni lazima ihakikishe mambo yote ambayo yatakuwa kikwazo cha maendeleo au kulihatarisha Taifa yanakuwa yanaondoshwa. Mfano, rushwa ipo na rushwa ni adui wa haki. Mpokeaji hutumia muda mwingi kutafuta mbinu ya kuficha uovu wake, hapo kumbuka ana majukumu ya kikazi anakuwa hayafanyi kiusahihi tena.

Naamini kutotimiza wajibu wako ni kuvunja haki ya mwengine na haki ya mwengine ikivunjwa taifa lazima liingie matatizoni. Haya mambo ni lazima yaondolewe, yananichukiza sana.

Vile vile kuna mambo kama nchi tunapasa kuiga toka sehemu mbalimbali, inaweza ikawa hapahapa nchini au nje ya nchi.(watu wana ideas zao), Katika Taifa naamini si kila alokuwepo serikalini ana uwezo wa kulipelela Taifa mbele, wapo watu ambao hata sauti zao hazisikiki na wana ideas na wanaweza kulipeleka mbele Taifa kutokana na ushauri wao, nani atapeleka hizi taarifa kama sio usalama wa Taifa?.

Nina hakika nina uzalendo wa kutosha kulisaidia Taifa.
 

Sawa sawa kabisa. Una kadi ya CCM?
 
Habari zaidi
 
hapana sina kadi ya CCM.

Kadi ya CCM inapatikana pale Lumumba Makao Makuu ya Chama, watakupatia. WAHI.
———
2. Kazi za TISS mara nyingi hawatangazi, nyingi huenda kwa RECOMMENDATIONS from the third party.
———
3. Nashauri ndoto zako zianzie Lumumba, it is very easy to be sourced from there hasa kama wewe ni POTENTIEL, pia nina amini ni kijana uliyemaliza chuo. Kuwa CCM sio lazima uwe mwanasiasa. It is the best way to position Yourself.
———
4. Hatuwezi kukupa nafasi yoyote ya Umma kama hatukujui vyema. Hasa nafasi zenye maslahi ya Taifa , vinginevyo utabaki kuwa Mtendaji wa chini . Vijana tunajichelewesha wenyewe kwa kwenda kwenye ma vyama ambayo hayakupi msingi wowote wa maisha zaidi ya kukufundisha UTUKUTU.
 
Wanausalama wote Wana tabia moja ya kuu ya mnyama anaitwa mbwa mwitu. Wakimuona adui Wana mshambulia na kumla nyama Ila Kwa bahati mbaya ukibakiwa na dam au vipande vya nyama baada ya kula Wana kutafuna na wewe. Ndio maana mbwa mwitu akila nyama lazima akasugue mdomo kwenye majani asijulikane amekula nyama. Same to usalama wakiwa kazin baada ya kaz kamwe hawajuwani mwiko kuongea.
 
Tena ni dhana tu[emoji38]

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Bahati mbaya kwetu mnufaika mkubwa ni ccm na mwathirika mkuu ni mpinzani

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…